Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Kwa usafiri wa anga Hana cha kupost lazima akwepe.Kakimbia kuskia tunaingia angani...wafanya mchezo weweee..
Kwa usafiri wa anga Hana cha kupost lazima akwepe.Kakimbia kuskia tunaingia angani...wafanya mchezo weweee..
Mi pia naishuku sana...mannake hamna mtanzania mwenye akili zile walai...Kwanza ni mkenya ,ukikumbuka wakati kikwete alipokuja katika Bunge letu kutuaga alisema kua yapo magari ya wakenya elfu 50000 ambayo yalisajiliwa Tanzania na yanafanya kazi ya uchukuzi nashuku hii Dar lux ni moja wapo ya kampuni za kikenya ambazo zimewekeza kule Kwa ajili ya biashara.
Hawa wanajua umbea wa vijiweni kama pale sinza mambo ya maendeleo wapi na wapi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Walishangaa kuona turkana iko na hospitali ya maana,vivutio vya utalii na pia kuna airport...hawaamini macho yao haki ya nani
Walahi hawana akili.Mi pia naishuku sana...mannake hamna mtanzania mwenye akili zile walai...
Mtanzania yeye hufikiria stendi tu...hataki lounge wala nn....
Mwengine kasema waenda pale stendi wachagua basi unalotaka wakatiwa receipt yako na safari inaanza....yani nilicheka sana...
Wacha na mimi nitie angalau kamkono tyDosi nyengine boya ,upo?[emoji116][emoji116]View attachment 1135328View attachment 1135329View attachment 1135330View attachment 1135331View attachment 1135333View attachment 1135334View attachment 1135335View attachment 1135336View attachment 1135337View attachment 1135338View attachment 1135339View attachment 1135341View attachment 1135342View attachment 1135343View attachment 1135344
Kila kitu kwao wanakariri..hadi nashangaa walai...wameichukulia turkana poa eti...next time ni mandera...na deal nao na northern kenya tu...hko wanapo padharau...ni aibu kulinganisha county za hku southern kenya na mikoa ya tanzania...Hawa wanajua umbea wa vijiweni kama pale sinza mambo ya maendeleo wapi na wapi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wow that's awesome. Iman hii imeanza lini?Wacha na mimi nitie angalau kamkono tyView attachment 1135345View attachment 1135346View attachment 1135347View attachment 1135348View attachment 1135349View attachment 1135350View attachment 1135351View attachment 1135352View attachment 1135353View attachment 1135354View attachment 1135357View attachment 1135358View attachment 1135359View attachment 1135360View attachment 1135361View attachment 1135362View attachment 1135363View attachment 1135364
Mi huaga naiona tu ndugu yangu....lkn haijafikisha miaka mitano nadhani...ilianza kitu 2016 hv...Wow that's awesome. Iman hii imeanza lini?
Kameishiwa.Amekimbia ndugu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Okay.Mi huaga naiona tu ndugu yangu....lkn haijafikisha miaka mitano nadhani...ilianza kitu 2016 hv...
Anaogopa...kaskia usafiri wa angani na reli unafikiria atakaa tena...Kameishiwa.
Katika mikoa yao watu wanaishi maisha ya kuhuzunisha halafu anakuja hapa kumuaga povu na kitecno chake.Kila kitu kwao wanakariri..hadi nashangaa walai...wameichukulia turkana poa eti...next time ni mandera...na deal nao na northern kenya tu...hko wanapo padharau...ni aibu kulinganisha county za hku southern kenya na mikoa ya tanzania...
Level yao kimaendeleo ni northern kenya tu
Kuna jamaa kaja hapa ka post vijumba vya geti viwili vitatu eti ywasema nimuonyesha kijiji km hicho kenya...hku kasahau km hajapachika jina ya hicho kw kuhofia kuumbukaKatika mikoa yao watu wanaishi maisha ya kuhuzunisha halafu anakuja hapa kumuaga povu na kitecno chake.
Ujumbe? 😊Salamu zimuendee Kaka Redeemer na tuusan popote walipo.
Katika mikoa yao watu wanaishi maisha ya kuhuzunisha halafu anakuja hapa kumuaga povu na kitecno chake.
Kuna jamaa kaja hapa ka post vijumba vya geti viwili vitatu eti ywasema nimuonyesha kijiji km hicho kenya...hku kasahau km hajapachika jina ya hicho kw kuhofia kuumbuka
TAWAQAL na TAHMEED ni kampuni za Tanzania, hupaswi kuzitumia.Mwiba ndio huu.View attachment 1135135View attachment 1135136View attachment 1135137View attachment 1135138View attachment 1135139View attachment 1135141View attachment 1135142View attachment 1135143View attachment 1135144View attachment 1135145View attachment 1135146View attachment 1135147View attachment 1135148View attachment 1135149View attachment 1135150View attachment 1135151View attachment 1135152View attachment 1135153View attachment 1135154View attachment 1135155