Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hajui km tahmeed anathamini sana soko la kenya kuliko tanzania
Hivyo ni sawa na kusema mkikuyu anathamini sana Jaluo, hakuna mtanzania atakayethamini soko la Kenya zaidi ya Tanzania, huo ulimbukeni upo huko Kenya. Wakenya wengi wamekimbia wapo nje ya nchi kutokana na rushwa, insecurity and lawlessness.
 
Sasa hiyo ni Mombasa Dar, bado ni Tanzania, wewe ulisema Mombasa Nairobi ndio anapeleka gari nzuri, vipi kampuni la Tanzania lithamini Kenya, wakati ajali kati ya Mombasa Nairobi zimezidi sana?
Yani huamini km tahmeed hathamini soko la ldc....bwahahaaa[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Jamaa alikuwa anataja taja maeneo ya tz bila kuyajua ameishia kuuumbuka mwenyewe.

Ameitaja Bukoba eti kisa iko mbali na dar.anataka alinganishe na turkana iliyombali na Nairobi [emoji38][emoji38][emoji38]

Bukoba town wakati wa usiku
 
Tanzania ina sewage coverage ya how many percent

Asilimia kubwa Tanzania wanatumia closed sewerage system. Yaani kila mtu anakuwa na shimo lake kwenye plot yake.

Katikati ya miji (CBD) mikubwa kama Dar, Mwanza, Tanga etc wanatumia open sewerage system. Yaani kuna mabomba ya maji taka yanaelekea sewerage pond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…