Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unahama?tumesema turkana we unaleta Mandela kwenye wakimbizi.


Umesema Kagera yenye hospital kubwa zaidi ya 10 .we bado turkana
Turkana tazama kw hyo post ya ju...bwahahaa....kagera mna hospitali gani ya kuifikia hyo ya turkana[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Bukoba Airport - Kagera
CPcalUNVAAAEX6_.jpeg
4408870_-mvVzyfCipIgLHE_BL7HpObnLic4mEFQ6GOUwy3y3D8.jpg
 
Usiseme Newton Ni Sir Issac Newton, Yule hakua mwanasayansi wa kawaida kwanza amenitesa sana kwenye Physics na minondo yake isioisha
Naweza mwita sir lakini ni my intelectual equal so namwita Newton tu
 
Turkana tazama kw hyo post ya ju...bwahahaa....kagera mna hospitali gani ya kuifikia hyo ya turkana[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie bado sijaona hospital ya turkana.
Halafu unajifanya kichwa maji.
Nimekupostia hospital za mkoa wa Kagera zaidi ya kumi huku hospital za rufaa zikiwa mbili.
 
Jamani tazameni soko kuu la Nairobi

Hiv hujionei aibu kupost huo uchafu halafu unalinganisha na dar?
Yaani hata soko la makumbusho bado sana kulifikia
tapatalk_1561146796230.jpeg
 
Eti Hilo ndo soko kuu la middle income?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ok na stendi kuu?
 
Hiv wew unaongelea Bukoba unaifahamu au unaisikia Tu.au Kwa sababu ipo pembezoni mbali Sana na dar?

Tanzania kila pande kuna maendeleo sio kama huko Kenya.


Hospital zinazokutwa Kagera ( Bukoba)


Kagera Referral hospital
Rubya hospital
Ndolage hospital
Ndolage Bukoba hospital
Mugana hospital
Kagondo hospital
Nyakahanga hospital
Biharamulo hospital
Ngara hospital
Izimbya hospital
Bukoba munispal hospital
Kagera sugar hospital
Kajunguti hospital
Bunazi hospital
Kyerwa hospital

Hizo Tu zinazokutwa mkoa mmoja wa Kagera.

Ukiwa unaongea vitu uwe na uhakika navyo shame on youView attachment 1133800View attachment 1133803View attachment 1133807View attachment 1133809View attachment 1133811View attachment 1133812View attachment 1133814View attachment 1133813View attachment 1133817View attachment 1133815View attachment 1133831View attachment 1133830View attachment 1133833View attachment 1133834View attachment 1133835View attachment 1133836
Santa sana...mkoa vs county...halafu bado inawafukuza...
 
Back
Top Bottom