Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1131681

Kaka mtanzania nakuheshimu sana kwa kutambua hili ...huu ndio mwanzo wa kusonga mbele tambua hali yako na kuikubali Kisha weka mikakati ya kujiinua.. Kuna sehemu kadhaa ambazo tz imeishinda Kenya kama vile kiswahili sanifu.. Nchi kubwa.. Amani.. Uimbaji.. Kwa haya niliyo ya taja.. Ukimsikia mkenya yeyote akijisifu Kwa haya.. Huyo basi ni mpumbavu...kwa hiyo tukubali ya kuwa Kenya iko Juu ya tz Kwa mambo kama bara bara, majengo.. Uchumi nk
Wewe ni Mtanzania mwenye high IQ. Sijawai ona mTZ kama wewe kwa hii forum
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
STATKenyaTanzaniaHISTORY
Commercial energy use514.5
Ranked 94th. 13% more than Tanzania
456.62
Ranked 102nd.
Crude oil >Production0.0
Ranked 146th.
10 bbl/day
Ranked 130th.
Electric power consumption >KWh6.51 billion
Ranked 105th. 53% more than Tanzania
4.27 billion
Ranked 120th.
Electric power consumption >KWh per capita155.02
Ranked 126th. 68% more than Tanzania
92.16
Ranked 132nd.
Electrical outages > Days83.6 days
Ranked 1st. 38% more than Tanzania
60.64 days
Ranked 3rd.
Electricity >Consumption6.15 billion kWh
Ranked 72nd. 81% more than Tanzania
3.4 billion kWh
Ranked 87th.
Electricity > Consumption > Per capita128.13 kWh per capita
Ranked 21st. 59% more than Tanzania
80.79 kWh per capita
Ranked 135th.
Electricity >Consumption per capita125.42 kWh
Ranked 20th. 62% more than Tanzania
77.38 kWh
Ranked 128th.
Electricity >Installed generating capacity per thousand people41.51 kW
Ranked 155th. 2 times more than Tanzania
18.7 kW
Ranked 170th.
Electricity >Production7.33 billion kWh
Ranked 70th. 70% more than Tanzania
4.3 billion kWh
Ranked 82nd.
Electricity production > KWh7.85 billion
Ranked 101st. 48% more than Tanzania
5.3 billion
Ranked 115th.
Energy use > Kg of oil equivalent per capita480.13
Ranked 117th. 7% more than Tanzania
447.57
Ranked 118th.
Gasoline > Pump price for gasoline >US$ per liter$1.37
Ranked 91st. 5% more than Tanzania
$1.31
Ranked 98th.
Oil > Consumption76,000 bbl/day
Ranked 81st. 2 times more than Tanzania
34,000 bbl/day
Ranked 102nd.
Oil > Consumption > Per capita1.97 bbl/day per 1,000 peopl
Ranked 6th. 3 times more than Tanzania
0.691 bbl/day per 1,000 peopl
Ranked 152nd.
 
Wewe ni Mtanzania mwenye high IQ. Sijawai ona mTZ kama wewe kwa hii forum
Sasa nimejua kwa nini akili zenu hazieleweki. Meshaathirika na manipulations za maneno ya kikoloni, hadi huruma. Ila watu ambao wanawapaga makavu live ni wachina.
Maneno ya mzungu kama scripts vile, akikutamkia yanaanza kumanipulate ubongo wako unaanza kufanya atakalo, jambo jema ni kwamba it does not work on us.
Yaani vichwa vyenu ni sawa na windows huku vyetu kama ubuntu, haturuhusu mzungu atumanipulate kijingajinga. Endeleeni kutuita wajamaa hivyohivyo huku mkiendelea kuwa vulnerable mpaka ifike siku mnajikuta hamjielewi kama nchi ni yenu au la!
 
Government hospital my foot...almost every kenyan has an insurance with NHIF We can all go to these hospitals ....we are are not as poor as the tanzajingans
I can see nyang'aus u r not poor
tapatalk_1555104272801.jpeg
tapatalk_1555104230233.jpeg
 
Sasa nimejua kwa nini akili zenu hazieleweki. Meshaathirika na manipulations za maneno ya kikoloni, hadi huruma. Ila watu ambao wanawapaga makavu live ni wachina.
Maneno ya mzungu kama scripts vile, akikutamkia yanaanza kumanipulate ubongo wako unaanza kufanya atakalo, jambo jema ni kwamba it does not work on us.
Yaani vichwa vyenu ni sawa na windows huku vyetu kama ubuntu, haturuhusu mzungu atumanipulate kijingajinga. Endeleeni kutuita wajamaa hivyohivyo huku mkiendelea kuwa vulnerable mpaka ifike siku mnajikuta hamjielewi kama nchi ni yenu au la!
Hivi watanzania huwa mnaenjoy aje vitu kama movies, wakati zote zina ongewa kwa kimombo,

si hata mtanzania anaweza kunywa dawa ya kuuwa paqnya kwa kukosa kuelewa maagizo yaliyo andikwa kwa kimombo
 
Hivi watanzania huwa mnaenjoy aje vitu kama movies, wakati zote zina ongewa kwa kimombo,

si hata mtanzania anaweza kunywa dawa ya kuuwa paqnya kwa kukosa kuelewa maagizo yaliyo andikwa kwa kimombo
Weweee hilo ni dongo la mkamba, usiligeuzie kwetu
 
Bagamoyo sio imekufa tumezuia kutokana na masharti ya wawekezaji lakini plan iko pale pale cha ajabu unaongea mambo ya lappset wakat ethiopia yuko djebout kaekeza billions of shs😆😆😆 na kuna mchumi wenu alisema sasa mujiandae kulipa 2.5trillion ksh loan ya lamu port maana harufu ya white elephant ishanukia😄😄😄

Isiolo airport ndio hio imegeuka kua pori la ngedere👇👇👇👇




That is why i asked you do know the true purpose of lappset ????
 
Back
Top Bottom