Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaa...sasa kati ya kenya na tanzania ni nani huo msemo unamlenga sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata marekani pia wana deni la $1trillion kutoka china...
So kukopa kufadhili bajeti ni bora zaidi kuliko kungojea mgao kutoka kw mabeberu...aka waume zenu...

Ile siku mtafikisha deni la $50bln tanzania...nchi inaporomoka kabisa
 
Zisingekuwa siasa nyepesi Magufuli anastahili kuongezewa muda zaidi ili akamilishe na kuimalisha miradi mikubwa aliyoianzisha na anayotegemea kuianzisha.
Na kodi pia zizidi kuongezeka kila sekta pia..km ya uwepo wako tanzania, kodi ya kuvuta hewa
 
Sisi siyo kama nyie munaoibiwa na Jubilee kwenye kila mradi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu...lipa kodi...huo ndo ushauri wangu kwako...manake ukikwepa tu unaitwa mpiga dili
 
WHAT ABOUT THIS!![emoji12]

ona barabara zao aki,mchanga tupu,no development at all,mko nyuma sana TZ
Popote wanapoishi wakenya ndani ya Nairobi kuna barabara Za lami? Acha upuuzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…