Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #15,001
Wewe ni Mkenya. Nilishasema muda mrefu utatoa povu mpaka ukome.Dah....nachelea kusoma na kujibu maana naloandika mm na nyie ni mambo mawili tofauti....kukua kwa miji ni evolution lazima itokee maana kuna mambo mengi yanabadilika...technology inapokua....akili zinakua na maendeleo lazima yawepo....mzee master plan haizuii kujenga bt my point haikuwepo na haipo...ndo mana shm ambazo zilikua bado pori now wanajitahidi....mm nadesign jengo kkoo naelewa nalosema.....sikatai dar inakua sana na stil kukua kwake haitunyimi kusema ukwel haijapangwa.....leo tunaona dodoma inaanza jengeka...wasikosee km huu mji....na elewa km nairobi ilikua ya maana kuliko dar ni nadra sana kuifikia recent...kwan wao pia wanakua....tatizo watanzania tunaushindani ambao hauna tija....leo we build flyover hata haijaanza makelele kibao wakati nairobi kwao sio kitu kigeni...ni va kujisifia bt tuache kulinganisha mambo kwa ushabiki....tusifie kwa mazuri....tunajikweza sana watz na kudharau....na hatujui ushabiki hauna maana kwa familia zetu....mfano angali ooh sijawai enda nairobi au mtu anajisifia yy wa dar wakati kwao.kashozi...yap mm baba angu mkenya machakos na mama mpare....nimeishi kote unaposema naelewa ila ushabiki wa haunisaidii....tujenge nchi yetu kwa manufaa yetu sio comparison ambazo hazituletei tija....
Kwanza injinia gani huyu hajui hata kuandika!!?
Unaandika kama bata, halafu unajifanya injinia.
Maandishi hayana nukta hata koma. Yaani umeandika maelezo marefu kama sentensi moja.
Usijifanye designer wakati siyo. Jengo gani una design hebu lilete hapa tukione. Linaitwaje?
Nimekueleza toa ushamba wako hapa tutakutoa povu mpaka utakimbia. Namna ulivyoandika tu; ni proof tosha kiwango chako cha uelewa ni finyu mno, kama mtoto mdogo. Rudi shule ndio ulete maelezo humu. Halafu usijipe title ambayo huna. Hizo ni sifa za wajinga wenzako huko Kenya.
Hivi unazijua slums za Nairobi wewe au unaimba nyimbo tu. Ngoja nikuwekee hapa list:-
- Baba Ndogo
- Dandora
- Fuata Nyayo[7]
- Gatwekera
- Huruma
- Kambi Muru
- Kangemi
- Kawangware
- Kiambiu
- Kianda
- Kibera (Kibera has been described as the largest slum in Kenya)
- Kichinjio
- Kisumu Ndogo
- Korogocho
- Laini Saba
- Lindi
- Majengo, Nairobi
- Makina
- Makongeni
- Mashimoni
- Matopeni
- Mathare
- Mathare Valley
- Mugumoini
- Mukuru kwa Njenga
- Mukuru slums
- Nyalenda
- Pumwani
- Raila
- Sarang'ombe
- Shilanga
- Siranga
- Soweto East
- Soweto West
- Ziwa la Ng'ombe[8]