Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bongo
19419113874_f31e892f43_b.jpg
 
Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document. Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
Acha bana mnashindana nn...nai mnajua ni jiji la ngp africa....mm mtz ila dar haina master plan...haipo arranged....kuwa wazi na tuache ligi za kijinga.....nai ipo mbali sana compare na dar....tujijengee tu magorofa ila dar haipo arranged
 
umewah ishi nairobi......?
 
Back
Top Bottom