Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu kaandika hapa dar ina master plan...akaleta sijui ile kigambon mpya....aende kigamboni now aone je wanaifata....leo morogoro road wanabomoa nyumba....
Kkoo haina mwelekeo....posta wanajengajenga...tuache ushabiki tujitahidi kujenga miji kwa mipango miji....dar ishakua kichefuchefu wajenge mikoa mingine tutafika.....
Naona ndio umeamka usingizini siyo unataka kujitafutia umaarufu kupitia huu uzi. Siyo, Wewe mkenya unataka kujifanya mbongo siyo. Acha ujinga wewe sawa. Leta taarifa za kwenu huko kenya sawa. Usituletee mbwembwe za kikenya hapa ebo.
 
So mshajadil dar ina master plan...dar ya 8.....well weka facts
Nimekueleza wewe nenda kenya. kwenu sawa kama unatafua umaarufu kwa kupitia huu uzi nakuambia utauona mchungu. Sawa dogo, kama umejiandaa sawa sawa twende uwetayari kujibu mashambulizi yangu maana ni mvua ya sunami. Mshamba wewe wa kibera.
 
Naona ndio umeamka usingizini siyo unataka kujitafutia umaarufu kupitia huu uzi. Siyo, Wewe mkenya unataka kujifanya mbongo siyo. Acha ujinga wewe sawa. Leta taarifa za kwenu huko kenya sawa. Usituletee mbwembwe za kikenya hapa ebo.
Ndo akili zako zimeishia....huna lingine povu....well mm sipo kubishana ilhali huna fact....hata masterplan nadhan hujui maana yake.....lete masterplan ya dar...mpaka sasa watu wanajenga shm hazijapimwa...watu wanabomolewa nyumba....labda ujui..master plan inaweka mipango ya miaka 50.....jishangaea mpaka leo bado tunasaka miundombinu....kwa nn wanabomoa nyumba za watu km walikua na master plan.....
 
Nimekueleza wewe nenda kenya. kwenu sawa kama unatafua umaarufu kwa kupitia huu uzi nakuambia utauona mchungu. Sawa dogo, kama umejiandaa sawa sawa twende uwetayari kujibu mashambulizi yangu maana ni mvua ya sunami. Mshamba wewe wa kibera.
Lazima mfa maji lazima aanze kutumia lugha za ajabu.....well hatujui kujibu hoja ni lugha hizo....napenda kuelimishana na maturity person.....
 
Ndo akili zako zimeishia....huna lingine povu....well mm sipo kubishana ilhali huna fact....hata masterplan nadhan hujui maana yake.....lete masterplan ya dar...mpaka sasa watu wanajenga shm hazijapimwa...watu wanabomolewa nyumba....labda ujui..master plan inaweka mipango ya miaka 50.....jishangaea mpaka leo bado tunasaka miundombinu....kwa nn wanabomoa nyumba za watu km walikua na master plan.....
Usitafute umaarufu kupitia mimi mshamba wewe. Unaelewa maana ya master plan wewe?
Unajua hata mipango ya 1960s wewe? Toa ushamba wako wa Nairobi hapa. Huna facts umekuja kuota povu hapa kama mwehu tu.
Huna lolote ungekuwa na facts zozote ungeweka hapa. Zaidi ya ujinga na kurukia mada hujui hata ilikotoka. Unakuja kurukia mbele tu kama mwehu vile.
Soma uzi mzima upo na pages 750. Siyo kuja kama mwehu na kurukia mada hujui hata ilikotoka.
Tuna miezi zaidi ya mitatu tunajadili wewe kajamba nani unakuja kimbelembele.
Soma thread yote upate elimu siyo kujifanya waijua Dar wakati unakaa matopeni kule Nairobi.

Mshamba wewe.
 
Lazima mfa maji lazima aanze kutumia lugha za ajabu.....well hatujui kujibu hoja ni lugha hizo....napenda kuelimishana na maturity person.....
Huna chochote wewe mtu wa kibera. Kama unataka kuelimika ungeuliza tukakupa facts. Siyo kujifanya mjuaji mjuaji wakati hujui lolote. Wewe unakaa kibera utajua wapi issue za Dar. Acha ushamba.
Uliza kwa heshima tunakujibu kwa heshima. Ukija kimagumashi gumashi tunakupa za uso. Waulize wakenya wenzako watakueleza.
 
Usitafute umaarufu kupitia mimi mshamba wewe. Unaelewa maana ya master plan wewe?
Unajua hata mipango ya 1960s wewe? Toa ushamba wako wa Nairobi hapa. Huna facts umekuja kuota povu hapa kama mwehu tu.
Huna lolote ungekuwa na facts zozote ungeweka hapa. Zaidi ya ujinga na kurukia mada hujui hata ilikotoka. Unakuja kurukia mbele tu kama mwehu vile.
Soma uzi mzima upo na pages 750. Siyo kuja kama mwehu na kurukia mada hujui hata ilikotoka.
Tuna miezi zaidi ya mitatu tunajadili wewe kajamba nani unakuja kimbelembele.
Soma thread yote upate elimu siyo kujifanya waijua Dar wakati unakaa matopeni kule Nairobi.

Mshamba wewe.
Hahahahaha....well when you argue with a fool,there are two....no more argument.....matusi kelele...
Unatupa unproved kigamboni....mm nadeal na usanifu majengo naelewa nalosema so no need ya kubishana....wengi hampendi kuwa critised....mnalojua matusi....cheers
 
18251720_291787701232742_8344875994452066304_n.jpg

source

Mtambo halisi wa kugenerate electricity tayari umeshawekwa kwenye chuma refu al maharufu spire kwenye jengo refu la BRITAM TOWER. Mtambo huo unafanyiwa ukaguzi wa kina kwa sasa pamoja na taa za projector ambazo zitaliwasha jengo jipya la britam.Tayari wana Nairobi wameanza kuvutiwa na ulimbwende wa dancing lights ambazo kwa sasa zinajaribiwa.Ni kwa muda mfupi tu nitawaletea picha halisi za jengo hili likiwa limewashwa usiku kwenye skyline ya Nairobi.Kaeni macho........
 
Huna chochote wewe mtu wa kibera. Kama unataka kuelimika ungeuliza tukakupa facts. Siyo kujifanya mjuaji mjuaji wakati hujui lolote. Wewe unakaa kibera utajua wapi issue za Dar. Acha ushamba.
Uliza kwa heshima tunakujibu kwa heshima. Ukija kimagumashi gumashi tunakupa za uso. Waulize wakenya wenzako watakueleza.
Then pole nakaa kimara....
 
Hahahahaha....well when you argue with a fool,there are two....no more argument.....matusi kelele...
Unatupa unproved kigamboni....mm nadeal na usanifu majengo naelewa nalosema so no need ya kubishana....wengi hampendi kuwa critised....mnalojua matusi....cheers
Nimekueleza usitafute sifa hapa. Leta facts. Unajua kitu gani facts ziko wapi? Unajua wewe projects ngapi zipo kigamboni?
1. AVIC Town (Kigamboni)
2. Nyerere Bridge Tayari imeisha
3. Hamidu city
4. Fun City
5. NSSF Projects
6. NHC Projects

Na mengine mengi tu.
Usijifanye unaijua Dar kuliko sisi wakazi wa Dar.
Leta facts hapa.
 
Soma title kijana....
 
Then pole nakaa kimara....
Unakaa kimara wapi? Halafu kukaa kimara haimanishi kuwa wewe ni Mtanzania na haimaanishi kuwa unaijua Dar.
Sisi tunazunguka Dar nzima kuchukua picha na kuonesha projects zinazooendelea.
Wewe unakuja kudandia mada. Hujui hata imetoka wapi.
Usitafute umaarufu kupitia hii thread. Mtu mwenye akili huja na facts na references siyo maneno meengi. Nakupatie elimu fupi.
Fuatilia comments zangu. Mimi watu wenye elimu fupi kama nyie huwa nawaona kama wehu fulani. Huwezi ukaja kwenye mada inayohitaji facts ulete bla bla.
Leta facts hapa. Siyo kuja na nyimbo na mapambio.
Zaidi sana soma thread yote kisha uje na maelezo yenu ya kenya.
Mpaka hapa nimekustahi sana.
 
Soma title kijana....
Acha ujinga mimi ndiye nimeleta hii thread. Acha ujinga unaingia tu kwenye mada kama mwehu.
Check nani kaleta hii mada. Siyo kuruka ruka tu kama huna akili timamu.
 
So km umeleta post hutakiwi kukosolewa?kwa nn unatukana basi...mm nmekanusha dar haina master plan....nmesema nairobi ni 6 city in afrca kwa mengi...barabara....kupangika...usafi....unataka fact za kiaje....ongoin project au kuvunja nyumba....au ulitaka nitumie lugha ngumu
 
Mbona unaimba nyimbo kama mjinga? Hapa tunaenda kwa facts. References na Evidences za infornation zako ziko wapi?
Leta facts hizo hapa. Siyo kuanza kuimba nyimbo tu. Hapa dogo tunaenda na facts sawa?
Kama huna facts zitafute ukizipata zilete.
Kisha dogo nakuambia kama unakuja na mbwembwe za wenzako utatokwa mapovu.
Nasubiri References na evidences.
 
So km umeleta post hutakiwi kukosolewa?kwa nn unatukana basi...mm nmekanusha dar haina master plan....nmesema nairobi ni 6 city in afrca kwa mengi...barabara....kupangika...usafi....unataka fact za kiaje....ongoin project au kuvunja nyumba....au ulitaka nitumie lugha ngumu
Kwa kukusaidia zaidi. Nakupatia hii document usome kuhusu Master Plan ya Dar
Imetolewa 2013. Isome kwanza kisha uje na mbwembwe zako hapa.
 
Attachments

niligundua tatizo lake mda.....sema nilikaa kimya ili nimsikilize zaidi .....kinacho happen mbekeni
 
So km umeleta post hutakiwi kukosolewa?kwa nn unatukana basi...mm nmekanusha dar haina master plan....nmesema nairobi ni 6 city in afrca kwa mengi...barabara....kupangika...usafi....unataka fact za kiaje....ongoin project au kuvunja nyumba....au ulitaka nitumie lugha ngumu
tatizo lako bwana msanifu .....wa majengo .......unaonyesha wew unaijua dar kupindukia......ha ha haaa yaan project zote zinazoendelea ni zipo kwenye masterplan ......cha kwanza elewa hvyo .....hapo nyuma tulikosea ila kwa sasa ni usawa mwanzo mwisho .......laiti dar ingekuwa kama haipo kwenye master plan hili jiji lingekuwa na uswazi katika kila eneo maeneo yote yangefanana na kuwa city yote unplanned......hebu linganisha dar ya nyuma na yasasa zinalingana...ni kuna maeneo tu kadhaa ambayo yanakuwa ovyo ambapo hata ukienda nairobi yapo tena zaidi ya huku.....nakingine wew waweza kuwa mbongo na nairobi haujawahi fika unaiona tu kwa picha ila sababu upo humu unajifanya unaijua na vilevile unaweza ukawa mkenya hafu unajifanya mbongo
 
Dah....nachelea kusoma na kujibu maana naloandika mm na nyie ni mambo mawili tofauti....kukua kwa miji ni evolution lazima itokee maana kuna mambo mengi yanabadilika...technology inapokua....akili zinakua na maendeleo lazima yawepo....mzee master plan haizuii kujenga bt my point haikuwepo na haipo...ndo mana shm ambazo zilikua bado pori now wanajitahidi....mm nadesign jengo kkoo naelewa nalosema.....sikatai dar inakua sana na stil kukua kwake haitunyimi kusema ukwel haijapangwa.....leo tunaona dodoma inaanza jengeka...wasikosee km huu mji....na elewa km nairobi ilikua ya maana kuliko dar ni nadra sana kuifikia recent...kwan wao pia wanakua....tatizo watanzania tunaushindani ambao hauna tija....leo we build flyover hata haijaanza makelele kibao wakati nairobi kwao sio kitu kigeni...ni va kujisifia bt tuache kulinganisha mambo kwa ushabiki....tusifie kwa mazuri....tunajikweza sana watz na kudharau....na hatujui ushabiki hauna maana kwa familia zetu....mfano angali ooh sijawai enda nairobi au mtu anajisifia yy wa dar wakati kwao.kashozi...yap mm baba angu mkenya machakos na mama mpare....nimeishi kote unaposema naelewa ila ushabiki wa haunisaidii....tujenge nchi yetu kwa manufaa yetu sio comparison ambazo hazituletei tija....
 
Back
Top Bottom