Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
dar ni ya nane.....tafuta source za mwaka 2016/2017 dar kadri miaka inavyokwenda inapanda bro tafuta chanzo cha sasa ivi........wew upo dar lakin nai haujawah fika nai kwa road ndyo wametuacha ni mji wakawaida tu uliza waliokaa mwaka 2000-20013 walituacha mbali ila kwa sasa ndugu usijidanganye wew unaishi kwa mazoea dar ipo changed sana.....tembea hafu ukipata pesa nendaga na nairobi....
