stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,737
- 15,623
Nairobi Unaijua ama unaiskianga
Walijenga mtungi Tatu Dar wakaona occupancy iko chini kama uchumi Yao ikabidi wamekimbilia Nairobi. Sahii wamekaa miaka kama Saba bila kujenga gorofa imepita 30 floors 😂. Westlands alone has more buildings over 30 floors under construction than the entire Dar es SalaamAlafu cha kuhuzunisha ni kwamba hiyo yao wamekuja kujengea nchi jirani alafu wanashangulia badala ya kuhuzunika
Tukiwaambia uchumi wetu ni kubwa wanasema ni data za kupikwa. NSSF Tanzania could have easily built that tower in Dar but they know kwao Kuna low occupancy rates wakaona ni vyema waijenge Nairobi where office and residential spaces sell.Walijenga mtungi Tatu Dar wakaona occupancy iko chini kama uchumi Yao ikabidi wamekimbilia Nairobi. Sahii wamekaa miaka kama Saba bila kujenga gorofa imepita 30 floors 😂. Westlands alone has more buildings over 30 floors under construction than the entire Dar es Salaam
The problem is your low English comprehension levelSIna muda wa kukuelewesha takataka kama wewe unayejua ila unaanza fuvu.
Wakenya mko hivyo.
Soon utamuja haoa kusema Tatu city is owned by Kenyans.
Tengenezeni barabara kwenye mitaa yenu. Matusi haisaidii chochoteCulture yenu ya kishamba na ya kitumwa. Nenda shule kazifunze na ujue kwanini Tanzania watu wa classes zote wanaishi eneo moja
A traditional Gikuyu speaker pretending to comprehend English after being full in Githeri.The problem is your low English comprehension level
Barabara zilizo Dar zikiletwa Nairobi zinajaa mpaka kwenye vyumba vyenuTengenezeni barabara kwenye mitaa yenu. Matusi haisaidii chochote
Very few. Most of building in Nairobi ni colonial Style
Hizi zote majengo mbaya hazina mvuto and haziko covered na glass full. And them agly.
Kwahiyo kutojenga gorofa ya 30 floors ndio kwamba hakuna wapangaji au.? Unajua ni gorofa ngapi zinajengwa Dar by now.? Wanawezaje kujenga kama hakuna wapangaji.? Hii akili unatumia kuvuka barabara.?Walijenga mtungi Tatu Dar wakaona occupancy iko chini kama uchumi Yao ikabidi wamekimbilia Nairobi. Sahii wamekaa miaka kama Saba bila kujenga gorofa imepita 30 floors 😂. Westlands alone has more buildings over 30 floors under construction than the entire Dar es Salaam
Ni gani haya manyumba yanafanya hapo nyie wakora?Huku ni kitui si Nairobi
View attachment 3568248