COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Uhunye
Nyie wakenya acheni ujinga
Unadhalilisha viongozi wa nchi yako. Huu ni ujinge mkubwa sana. Rais ni kama baba yako kwenye familia huwezi kumdhalilisha nje ya nchi.Uhuru ruto![]()
![]()
![]()
![]()
Hi ni show iko NTV na hakuna ushamba hapo ni creativity...ends youtube xyz show for more...Unadhalilisha viongozi wa nchi yako. Huu ni ujinge mkubwa sana. Rais ni kama baba yako kwenye familia huwezi kumdhalilisha nje ya nchi.
Ni ushamba wa hali ya juu. Kutokujua wapi ufanye nini.
Wewe ni limbukeni, unadhalilisha nchi yako. Rais anawakilisha sura ya nchi. Unapo mdhalilisha unajidhalilisha mwenyewe.
Mikocheni mzeeMasaki au osterbay?
Si Mimi hi ni show.yani uko shallow minded aje...hii ni comedy mseKwenye thread hii umeileta kwa lengo gani sasa? Huo ni ushamba na kudhalilisha viongozi wako.
you're patheticSipo kwenye usahili au silipwi kwa kuandika...just namaliza bando...then sipo kubishana na ww au yeyote....unatoka kwa mada unaandika nonesence....pia tofautisha msanifu majengo na mhandisi,though all we learn engineering bt uwez muita architect kua ni engineer....then ur perception na zako na zangu are differ...unataka niandike km nipo darasani...ndo mana waishia kutukana bse ur mentality is poor....sipo kuprove your IQ bt is poor
Hongera siyo kama mwenzako anadhalilisha nchi yenu hafai kuwa kamanda wa nchi yeyote. Hajui hata afanyalo.Mature, expensive and top notch political organization in Nairobi
NASA
![]()
NARK Kenya
View attachment 506459
Jubilee
![]()
Kanu
View attachment 506460
MCC
View attachment 506461
FAP
View attachment 506462
Haha wewe uko na akili ndogo nlikuambia enda YouTube tafuta XYZ show...ni comedy maze acha kukaa ka ancestor wa 19th centuryHongera siyo kama mwenzako anadhalilisha nchi yenu hafai kuwa kamanda wa nchi yeyote. Hajui hata afanyalo.
We see no harm in political satire, we like to laugh at least it relives us of our day to day problems. Freedom of speech and expression is very much allowed in 254.Unadhalilisha viongozi wa nchi yako. Huu ni ujinge mkubwa sana. Rais ni kama baba yako kwenye familia huwezi kumdhalilisha nje ya nchi.
Ni ushamba wa hali ya juu. Kutokujua wapi ufanye nini.
Wewe ni limbukeni, unadhalilisha nchi yako. Rais anawakilisha sura ya nchi. Unapo mdhalilisha unajidhalilisha mwenyewe.