kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Hii safi.World Bank walishatoa $150M kwa project ya kuweka standard infrastructure Southern Circuit
Hii safi.World Bank walishatoa $150M kwa project ya kuweka standard infrastructure Southern Circuit
Nilijua Wakenya waliopo Jf kwasasa ndio Vilaza kumbe Hata huko Majanga
Unashinda kuanzia Asubuhi mpaka jion Unasubiri Huduma Namba
afu hujui ndio nn na yakazi gani!!!
Nikienda Mbeya mwaka huu lazma niende hapa.
Yeah eneo lote hili litakua covered na hii projectHii safi.
Hiyo lake Malawi kwenye ramani jomba nimeimaindi 🙂Yeah eneo lote hili litakua covered na hii project View attachment 1101840
Why does the lake have a turquoise greenish colour?
Not just green, it also changes to blue depending on what angle the Sun is.Why does the lake have a turquoise greenish colour?
Hii project imeota mbawa! Stieglers gorge hydropower the reason!Yeah eneo lote hili litakua covered na hii project View attachment 1101840
Waiting to see the fire engines! Below r Bomet county fire engines with a pump of horsepower of an insecticide sprinkler!
Ipo, tena ilizinduliwa na makamu wa Rais Iringa 2017Hii project imeota mbawa! Stieglers gorge hydropower the reason!
Hii project imeota mbawa! Stieglers gorge hydropower the reason!
Cancellation imefanyika January 2019!🔗
![]()
New Opportunities for Development in Southern Tanzania Through Nature-Based Tourism
Increased conservation and management of unique Protected Areas in Southern Tanzania, coupled with promotion of alternative livelihoods for rural communities and infrastructure development, will generate economic opportunities for the region, protect natural...www.worldbank.org
www.newsghana.com.gh
Kumbe? Wametoa official report?Cancellation imefanyika January 2019!
Kigwangalla aliliongelea Bungeni! Imperialists have cunning ways! JPM hashindwi ku-raise $150 mln! WB wapuuzi!Kumbe? Wametoa official report?
Washenzi wakubwa WB, kwanza serikali inajenga barabara ya lami inaingia mpaka eneo la mradi Rufiji hydropower area, itapita eneo kubwa la hifadhi.Kigwangalla aliliongelea Bungeni! Imperialists have cunning ways! JPM hashindwi ku-raise $150 mln! WB wapuuzi!
Umekataa kununua mitambo yao kutengeneza umeme toka gesi! Pia mitambo ya umeme wa upepo!Washenzi wakubwa WB, kwanza serikali inajenga barabara ya lami inaingia mpaka eneo la mradi Rufiji hydropower area, itapita eneo kubwa la hifadhi.
AfDB ndio mpango mzima halafu tunaelewana kichizi, mpunga waliotoa kwenye projects mbali mbali hata WB pumbavu zao hawaoni ndani.Umekataa kununua mitambo yao kutengeneza umeme toka gesi! Pia mitambo ya umeme wa upepo!
Kwanza angalia ramani yake vzr utaona ni ramani ya africaWhy does the lake have a turquoise greenish colour?