Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Hii ni project ambayo ishaanza kufanyika..na ni mkopo kutoka world ..bank...kama umenotice kuna barabara nying mitaani zinajengwaKuna mwnye kujua kuhusu hii? maelezo please:
Hii ni project ambayo ishaanza kufanyika..na ni mkopo kutoka world ..bank...kama umenotice kuna barabara nying mitaani zinajengwaKuna mwnye kujua kuhusu hii? maelezo please:
I've been to this store
Kwa route mpya ya airtanzania ya Dar Iringa naona tayari Ruaha NP inaanza kufunguka pamoja na Kitulo NP. Mbeya kuna Lake Ngozi inabidi serikali ifanye kitu kuipa promo zaidi.
Saivi kwenye tourism industry Tanzania is regarded as low season lakini this year you can't notice the expected outflow ya watalii because it's absolutely viceversa
It's a hightime now to market lake zone and southern circuit tourism destinations.
Naiona 3$ Billion
Tupo Vizuri![]()
Waikiki?I've been to this store
yapWaikiki?
kitu konkiKwa wale makobe wenzangu leo nazurura tu na kula.
View attachment 1101125
View attachment 1101126
View attachment 1101127
View attachment 1101128
View attachment 1101130
Sana boss ..southern circuit..ina potential ya kuipa Tz more usd 2B kwa mwaka...na 1mil extra tourist ..tuki invest vzuri...Southern circuit ni nzur kwa tourism ..na Horticulture exports..ambazo zinaweza kutuoa ajira nying sanaKwa route mpya ya airtanzania ya Dar Iringa naona tayari Ruaha NP inaanza kufunguka pamoja na Kitulo NP. Mbeya kuna Lake Ngozi inabidi serikali ifanye kitu kuipa promo zaidi.
Hizo roads mbili za kwanza ni DMDP projectKwa wale makobe wenzangu leo nazurura tu na kula.
View attachment 1101125
View attachment 1101126
View attachment 1101127
View attachment 1101128
View attachment 1101130
Good progress..ila kiukweli mpka November itakuwa bado ..i think maybe July 2020
Wanaonekana wako polepole! Sijui tatizo nn? Morogoro ndio bado kabisaa! Kuna mtu alisema Mota engil wanajenga kutokea Moro kuja ila sioni kitu!Good progress..ila kiukweli mpka November itakuwa bado ..i think maybe July 2020
Maybe the rains...zimefanya waende pole pole...but mpka 2020 uchaguzi..Treni zitakuwa zinatembeaWanaonekana wako polepole! Sijui tatizo nn?
😀😀😀 Mchizi alidhani Upinde wa mvua unatokea kwao tu
Asante Chief 👏Hii ni project ambayo ishaanza kufanyika..na ni mkopo kutoka world ..bank...kama umenotice kuna barabara nying mitaani zinajengwa
Tunawaalika na Mungiki waje waonje Bullet Train. Pia wajue kua Morogoro ina uzuri fulani hivi wa nature utakaokufanya usisinzie.Good progress..ila kiukweli mpka November itakuwa bado ..i think maybe July 2020