spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Wataka nipost 47 stadiums hapa,hio kazi swezi fanya plz,Shusha hapa hivo viwanja, najua akishusha nondo Ichoboy atakulaza vibaya hapo Makadara leo
day dreamBig projects takes time baba
47 pitches you mean?Wataka nipost 47 stadiums hapa,hio kazi swezi fanya plz,
Show ya teenegars
Usisahau kuna kcmc baba lao kaskazini
Hio ni shamba gani?Usisahau kuna kcmc baba lao kaskazini
Show ya teenegars
Precisely ni ya teenagers and is a good one
Mi nipo netflix simuelewi ujueShow ya teenegars
Kilimanjaro Christian medical centreHio ni shamba gani?
Hivyo vijumba ukiviunganisha kutoa jengo moja havifikii ukubwa wa MLOGANZILAhii ndiyo inakuja kuwa nambari moja
K.U hospital East Africa
View attachment 1087107
View attachment 1087108View attachment 1087109
Sisi hayo ma round about makubwa tulishayaondoa siku nyingi sana imebaki ile ndogo ya clock tower na Askari monument kwa sababu za kihistoria, nyingine ndogo mbili zilizobaki ni zile jamhuri st. Tulikuwa tuna moja kubwa sana pale Ohio st na Upanga road (sasa Ali Hassan Mwinyi) kabla barabara ya Ali Hassan Mwinyi haijatanuliwa.
Wapi hiyo!?, Camera ya simu gani unatumia!?
Mlijificha halafu?