Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu,

Uliwaona wanapita wapi?

Nilikua class mkuu Ben mkapa, walipita wenye pua flat wakafuatiwa na hawa . Nadhani kulikua na mazoezi ya maadhimisho kama Sio muungano Au sherehe gani. Zilipita chichi sana zikitokea upande ilipo China plaza kwa sasa.
 
Teyari kuna hiyo miundombinu ipo reli ya metre gauge kutoka bandarini, kama ukiwa gerezani st kwenda bandarini st pale kwenye mzunguko mbele yake kuna daraja, chini yake kuna reli.

Nilivyosikia reli hii ya SGR, mabehewa ya mizigo yataanzia pwani ambapo kutakuwa na bandari kavu, kwahiyo mizigo kutoka bandarini na kwingineko itakusanywa kidogo kidogo na kupelekwa kibaha kwa kutumia reli ya zamani ya meter gauge ndipo ikusanywe na kuanza safari.

View attachment 1077261

View attachment 1077245

Si sahihi, umeshasahau ni juzi tu JICA wamesaini mkataba wa kupanua daraja la Gerezani kwa sabbat ya BRT juu na SGR chini.
 
Nilikua class mkuu Ben mkapa, walipita wenye pua flat wakafuatiwa na hawa . Nadhani kulikua na mazoezi ya maadhimisho kama Sio muungano Au sherehe gani. Zilipita chichi sana zikitokea upande ilipo China plaza kwa sasa.
It's my old xul back in 2000
 
Si sahihi, umeshasahau ni juzi tu JICA wamesaini mkataba wa kupanua daraja la Gerezani kwa sabbat ya BRT juu na SGR chini.
Naelewa maboresho hayo kuhusu BRT na kulijenga upya daraja la gerezani ila sikuwa na uhakika kama watajenga reli ya SGR pia. Kumbuka SGR ipo juu maeneo yale sasa sijui kama kuna nafasi ya kuweka line nyingine chini kwaajili ya reli ya mizigo mpaka buguruni pale ile inayotoka stesheni itakapo shuka.
 
Daraja litakuwa na urefu wa mita 40 na upana wa mita 30 nahis inawezekana kuna uwezo wa kuweka line zaid ya tano ... Ukizingatia na kwamba upana wa reli ni mita 1.5 kwa SGR kwa urefu wa mita 40 itatosha ..sema nahis litakuwa tayar 2022 probably
 
Sidhani mkataba na Yapi utaunganisha reli mpaka bandarini ila baadae tunaweza jenga wenyewe..
 
Baada ya kukamilika Salender bridge
56485998_2006758492961473_7010626315726886153_n.jpg
 
Back
Top Bottom