ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
👇👇👇👇👇Hata mm najiukizaga sanaa
Sgr haifiki babdarini mizigo yote itabebwa na treni ya zamani mpaka icd ruvu hapo ndipo sgr ya mzigo itaanza safari zake ile ya abiria itaanzia posta
👇👇👇👇👇Hata mm najiukizaga sanaa
Sgr haifiki babdarini mizigo yote itabebwa na treni ya zamani mpaka icd ruvu hapo ndipo sgr ya mzigo itaanza safari zake ile ya abiria itaanzia posta
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi nairobi kuna flyover ngapiii, tukumbushane tu
Aisee hii ni blunder takatifu kama haifiki bandarini!Sgr haifiki babdarini mizigo yote itabebwa na treni ya zamani mpaka icd ruvu hapo ndipo sgr ya mzigo itaanza safari zake ile ya abiria itaanzia posta
Go green heaven of peace
Subiri tuone mm niliskia hvo lakin sina uhakika sanaAisee hii ni blunder takatifu kama haifiki bandarini!
Aisee hii ni blunder takatifu kama haifiki bandarini!
Mombasa nalo ni jiji?Dar should be compared to Mombasa, Not Nairobi
Inafika bandarani....itapita chini ya daraja jipya la gerezani...tafuta video ya utiaji sign ya ujenzi wa daraja la gerezaniAisee hii ni blunder takatifu kama haifiki bandarini!
Loan of the white elephant😆😆👇👇👇
Kwa nini wasiende kuomba benki ya maendeleo ya Afrika?🙂Haki ya mama wachina watapata tabu sana, maana hawa jamaaa hawana pa kwenda isipokuwa China,😂😂 Safari hii wabebe tenga
Tanzania African tourism hub
Hawawezi kupewa kwasababu washavuka red line sasa mchina anawapa commercial loan zenye interest kubwaKwa nini wasiende kuomba benki ya maendeleo ya Afrika?🙂
Mombasa ipi hiii😆😆😆👇👇👇Dar should be compared to Mombasa, Not Nairobi
Teyari kuna hiyo miundombinu ipo reli ya metre gauge kutoka bandarini, kama ukiwa gerezani st kwenda bandarini st pale kwenye mzunguko mbele yake kuna daraja, chini yake kuna reli.Hivi wanajamvi niulize kwani sgr ya kwenda bandarini dar itapita wapi maana sioni mwelekeo wake
Tanzania African tourism hub