πππππ Kenya unaeza kuta ni 10%ππππππ
Waliomba mvua wakasingizia mvua imezuiliwa tanzania sasa mvua imekuja wanakunja sura zaoπππππ
Utafikiri wamebandikwa.
Alaf juu ya hapo tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya ππππHizi ni Barabara chini ya Tanroads
View attachment 1078923
Barabara chini ya TARURA
View attachment 1078926
Swaga hzo zilishafeli dunia hii utamdanganya nani hata mtoto wa miaka miwili huwezi mdanganyaππππKesho na keshokutwa utawasikia nyang'au washambadilisha uraia na kudai anatokea kunyaland kama wanavyofanya kwa wanamuziki wetu
Tunachanja mbuga kwa nguvu zetu wenyewe, bila manyanyaso ya mkopo πͺπͺ
Treni ya mizigo toka bandarini haipiti kule kwenye eneo la jengo la stesheni kuu, hata hii narrow gauge ya mizigo iliyopo inapotokea badarini hua haiingii moja kwa moja pale jengoni.Mbona hakuna dalili ya toleo la kwenda bandarini katika daraja la sgr la kwenda station kuu