Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1555844968.649625.jpg
 
Haha bado wachina 10,000 tena hao tunawafuata wenyewe...dreamliner inakazi ya kufanya hapo...
Bila kua serious hatuwez kutoboa ujue...lakini kwa mwendo huu wale wageni 2M wanaweza kufika...income lazima isome $3bn
Mwaka jana wamefika 2m mwaka huu tutegemee 2.5million people👏👏👏 income itasoma 3b safari hii
 
sema huu uwanja inabidi tuufanye uwe wakisasa zaidi kuna vitu yapaswa vifanyike kiujenzi zaidi na desgning yake yapaswa iwe yakitalii zaidi kinuonekano .....maana unatuingizia mapato aisee
Waweke kitu zaidi ya terminal 3 ya Dar, I know mbeleni Mungu akipenda tunaweza hata kuunganisha JNIA kwa maglev train hadi city centre, we just need funds.
 
Waweke kitu zaidi ya terminal 3 ya Dar, I know mbeleni Mungu akipenda tunaweza hata kuunganisha JNIA kwa maglev hadi city center, we just need funds.
shua yaani serikali inabidi waingalie sana hiyo airport iwe yakisasa sababu inaingiza sana mapato na nafasi ipo ...

pale wakipiga desgning moja matata yaani jengo linakuwa muundo wa kama mlima kilimanjaro ndani full sanamu za wanyama aiseee itakuwa ni matata hatari,,,,na siku moja moja dressing za wahudumu zinavaliwa kimasai aisee inakuwa ni bonge la culture
 
725b ksh zimekopwa na kutumiaka bila bunge na serekali kujua😆😆😆👇👇👇👇
Alaf mtu anakwambia GDP hajui kama GDP imejumlisha loan zote walizokopa

 
Back
Top Bottom