Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it's not about winning or losing its about the facts hakuna mradi wa billion 350 wa barabara hapo Arusha, aliekuambia alikuongopea

View attachment 1074452
Iko ivi hio kwenye picha n cost ya by pass na cost ya dual carriage tafuta utaona afu mm siambiwi kitu na mtu nimesoma makblasha nikiwa site miazini tulipitia road design nnnaikumbuka huniambii kitu ndio maana nkasema time will tell coz i know what am talking na nkakupa reference mm nnajibu maswala ya ujenzi tu humu tena mara moja ni kwa sababu ndio kazi zangu sa hv niko mbeya kwenye project ya tcsp ko mzee just wait time will tell miezi michache ijayo utaniamini nnachokiandika hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi ya kuogopa?? Hahaha....kwa lipi haswa? An LDC country ghat built it's first elevated road in 2019wakati we gone tulianza kuona vitu Kama hizo kitambo. Nchi yenye infanya uzinduzi wa lift!!! Hiyo ni nchi ya kuogopa kweli?? Wachene matani jamani
We nyang'au huu uchafu nao ni kivutio cha utalii au vp?
tapatalk_1555102444538.jpeg
 
Ni kwa sababu hizo picha za Dar unazozibeza ni za watu wa hali ya chini zaidi, wanajaribu kukuonesha tofauti ya watu wa hali ya chini Dar na Nairobi. Watu wa tabaka la chini Dar ni binaadamu ila tabaka la chini huko Nairobi wanaishi kama nzi wa jalalani au funza wa chooni na ndio maana huwezi kuta slums DSM kwenye Google since hatuna huo uchafu
Tatizo ni kujengwa sehemu unplanned na disorganized inaleta kichefuchefu,nyumba kama hizo zingejengwa kwenye plot zilizopimwa kusingekuwa na shida na muonekano mzuri,ukipata picha ya sumbawanga utaona
 
Back
Top Bottom