Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu hela nliokueleza hapo haihusishi project ya by pass iko kivyake na inatumia 120 hadi 160 bilion ujenzi wake mkuu total cost ya upanuzi kutoka sakina mpaka tengeru na by pass zote mbili ni zaidi ya 250 mpaka 300 bilioni kwa hio io 400 kwa upanuzi sehemu ya arusha km 8.9 na moshi km 8 bado madaraja hususan la kikafu na usisahau udongo wa moshi unaitaji earthwork ya maana kwa io hio 400 haitoshi lazima gvt iongeze kidogo na kwenye project design pitia eac na jica na mwtc wizara bajeti mwaka jana utaona double way haifiki kia inaishia usa river ili iunge na by pass nazani wataweka na ka overpass pale japo sina uhakika mkuu nazani sa hv umenieelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unanisoma kwa content yako kichwani Kiongozi? Mimi nimeongelea general budget ya hiyo project hakuna mahali nimeongelea billion 400? Au nimezeeka ghafla? Sina uhakika.
 
Hapana mkuu nnavosema 400 bil n makadiroa ya hio 60% ya hio 700 bil afu let wait time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hii project yote imegharimu billion 139, 60% ni kiasi kingi sana, barabara ya lami International standard kilometer 1 ni billion 1, dual carriage way ni 1.8 billion kama sikosei, gharama kubwa kwenye ujenzi wa barabara ni madaraja na compensation, kwenye kipande cha tengeru mpaka moshi hakuna compensation yoyote

Arusha bypass imekula pesa sababu ya compensation na hizo technicalities nyingine nilizozitaja.
 
Time will tell me siwezi kuendelea kukubishia coz nimesema whole project ya by pass na sakina tengeru ni more than 350 bilion ingia mtandaoni google utapata maelezo one km ya road ipo hata ya 500 milions per km kuna kitu kinaitwa road design ndio inayo predict road price sasa hio ya one bilion n standard ya barabara za mikoa kwa mkoa ambayo design yake mostly asphat layer n mbili tena za 60 mm akato arusha kifusi tu ya c1 unajenga barabara km 100 za mtaani kwa gharama na ujazo wa io kifusi anyway tusibishane mkuu time will tell ikianza nazani n before mwezi wa saba au wanane utaniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es Salaam commuter train Feasibility study done .

IMG_9386.JPG

IMG_9387.JPG

IMG_9389.JPG

IMG_9390.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Time will tell me siwezi kuendelea kukubishia coz nimesema whole project ya by pass na sakina tengeru ni more than 350 bilion ingia mtandaoni google utapata maelezo one km ya road ipo hata ya 500 milions per km kuna kitu kinaitwa road design ndio inayo predict road price sasa hio ya one bilion n standard ya barabara za mikoa kwa mkoa ambayo design yake mostly asphat layer n mbili tena za 60 mm akato arusha kifusi tu ya c1 unajenga barabara km 100 za mtaani kwa gharama na ujazo wa io kifusi anyway tusibishane mkuu time will tell ikianza nazani n before mwezi wa saba au wanane utaniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁 Am now uncomfortable with the authentic of your so called "an engineer "

Kwa taarifa yako saivi biggest project in the schedule ya Tanroads kwa upande wa dual carriage ways ni Dodoma outer ringroad project ambayo inaxiumganisha routes kutoa Lake Zone, Southern Highlands, Northern Zone na Dar to escaping from entering city centre

Itakua more than 100 kilometres na itagharimu 400 billion including compensations kuna toughest badass earthworks, almost 35% 6 lanes (+ service roads) and Lender's interests, sasa hicho kibarabara hapo ndio kiwe 350 billion? (reality hiyo pesa sio zaidi ya billion 140 kama unataka ushahidi useme)

From Arusha to KIA is not even perfect 45 kilometres, halafu hizi habari sizipati Google my friend.
 
Am now uncomfortable with the authentic of your so called "an engineer "

Kwa taarifa yako saivi biggest project in the schedule ya Tanroads kwa upande wa dual carriage ways ni Dodoma outer ringroad project ambayo inaxiumganisha routes kutoa Lake Zone, Southern Highlands, Northern Zone na Dar to escaping from entering city centre

Itakua more than 100 kilometres na itagharimu 400 billion including compensations kuna toughest badass earthworks, almost 35% 6 lanes (+ service roads) and Lander's interests, sasa hicho kibarabara hapo ndio kiwe 350 billion? (reality hiyo pesa sio zaidi ya billion 140 kama unataka ushahidi useme)

Okay bro u win let time decide 2 years are not that long we will be here

And if u dont trust am an engineer its fine nothing to worry time will tell us.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi ya kuogopa?? Hahaha....kwa lipi haswa? An LDC country ghat built it's first elevated road in 2019wakati we gone tulianza kuona vitu Kama hizo kitambo. Nchi yenye infanya uzinduzi wa lift!!! Hiyo ni nchi ya kuogopa kweli?? Wachene matani jamani
Mbona nyie mpaka leo hamna BRT! Ata hamjui pakuanzia wakati sisi tumesha izoea na ujenzi wa BRT phase two umeanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom