Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nimekuambia phase ll ni mpaka KIA kama huamini Acha. Central Government haiwezi kuchukua loans ya km 8 hiyo ni kazi ya TARURA

View attachment 1074227
Bro kupanua barabara sio hela ya kitoto mfano kupanua barabara kutoka sakina mpaka tengeru 14.1 km ilikuwa n more than bilioni 100 tsh mpaka 131 bilioni mm nlikuwa engineer pale kwa hio kwa hizo kama bilioni 400 wanazotoa kwa ajili ya huo mradi ambao arusha zitapanuliwa km 8 kutoka tengeru hadi usa river na moahi mjini nako km 8 na ujenzi wa madaraja mapya kama manne hio hela ukiangalia mwenyewe inaweza isitoshe bado na hizi road wanazopanua ni kama 6 au 8 lanes nazani umeona ya arusha service road yenyewe n hatari kuna sehemu hadi gari nane zinapita ukijumlisha na service road afu project ya holili naielewa na haikumaannisha ni full road inakuwa 4 ways no ila ni zile part za city kama arusha n 23km zinatakiwa ziwe highway na moshi n 8km nazani mkuu umenielewa hio pic n baathi ya google result kuhusu awamu ya pili ukipata time kasome bajeti ya wizara ya ujenzi 2018/19 utaiona pale kwenye page 200+ imeandikwa na kwanzia 2016 jica ndio mfathili alikuwa anajulikana nazani nimekuelezea vizury afu tarura wanadili na barabara zisizo za tanroad na hio section ya tengeru usa river n tanroad inawahusu kama mpaka hapo hujanielewa brother wait time will tell you afu mm sicommentg vitu ambavyo haviusian na ujenzi kwa humu ndani kwa io niamini nnaijua hii industry ya vizury kidogo ahsante bro
Screenshot_20190417-162932.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kupanua barabara sio hela ya kitoto mfano kupanua barabara kutoka sakina mpaka tengeru 14.1 km ilikuwa n more than bilioni 100 tsh mpaka 131 bilioni mm nlikuwa engineer pale kwa hio kwa hizo kama bilioni 400 wanazotoa kwa ajili ya huo mradi ambao arusha zitapanuliwa km 8 kutoka tengeru hadi usa river na moahi mjini nako km 8 na ujenzi wa madaraja mapya kama manne hio hela ukiangalia mwenyewe inaweza isitoshe bado na hizi road wanazopanua ni kama 6 au 8 lanes nazani umeona ya arusha service road yenyewe n hatari kuna sehemu hadi gari nane zinapita ukijumlisha na service road afu project ya holili naielewa na haikumaannisha ni full road inakuwa 4 ways no ila ni zile part za city kama arusha n 23km zinatakiwa ziwe highway na moshi n 8km nazani mkuu umenielewa hio pic n baathi ya google result kuhusu awamu ya pili ukipata time kasome bajeti ya wizara ya ujenzi 2018/19 utaiona pale kwenye page 200+ imeandikwa na kwanzia 2016 jica ndio mfathili alikuwa anajulikana nazani nimekuelezea vizury afu tarura wanadili na barabara zisizo za tanroad na hio section ya tengeru usa river n tanroad inawahusu kama mpaka hapo hujanielewa brother wait time will tell you afu mm sicommentg vitu ambavyo haviusian na ujenzi kwa humu ndani kwa io niamini nnaijua hii industry ya vizury kidogo ahsante bro View attachment 1074261

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja kiongozi nmekusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi ukianza utaelewa tu,maana as we talk hiyo barabara iko Arusha hadi holili ni njia 2 kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kasomeni project mtandaoni mtaelewa m kuelezea n shida kidogo afu m enyewe i wish iwe 4 ways unavotaka ww ila project roads inavopanuliwa n hatari sio ile local n inapanuliwa vilivo mkuu yani hizo 400 bilioni wanazotupa zinaweza hata zisipanue 20km coz 14 km ya sakina tengeru imekata 100+ bilions almost 131 bilioni na hio n cost 2015

Nimekuelewa vizuri tu hata mimi hii project naijua toka phase ya Namanga mpaka Longido mpaka Sakina (rehabilitation) then kutoka Sakina mpaka Tengeru (widening construction) na bypass yake (construction)

Najua sio dual carriage way mpaka Holili lakini kwa feasibility study inaonesha kutakua na dual carriage way mpaka KIA na zitajengwa kadri pesa inavyopatikana so baada ya kuonekana matumaini kupatikana zaidi billion 700 kwa hii project ya Arusha Holili Road project pamoja na Kigoma Port na Zanzibar water project ukiangalia hiyo pesa ni lazima hii project ya Arusha itapata zaidi ya 60% ya zaidi ya billion 700 ambapo itaweza kufikisha project mpaka KIA.

Kama kutakua na changes zozote nitajua ila hilo ndio lilikua kwenye latest studies.
 
Baada ya waarabu wa Misri sti kukabishiwa $743M wataanza ujenzi rasmi mwezi ujao wa stieglers gorge dam....watazalisha 80% ya umeme wote ulioko Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona UBA na CRDB walikuwa wanaweka sawa insurance ya mpunga jana mambo yamenoga hii stage iliopo hii project ni no turn back, katika project zitakazofanya Tanzania ibaki kuwa juu mawinguni ni hii ya Stiglierz
 
Mkuu kasomeni project mtandaoni mtaelewa m kuelezea n shida kidogo afu m enyewe i wish iwe 4 ways unavotaka ww ila project roads inavopanuliwa n hatari sio ile local n inapanuliwa vilivo mkuu yani hizo 400 bilioni wanazotupa zinaweza hata zisipanue 20km coz 14 km ya sakina tengeru imekata 100+ bilions almost 131 bilioni na hio n cost 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo project imekula pesa nyingi sababu ya earthworks ya eneo la mradi hasa bypass pamoja na madaraja yapo mengi makubwa pia bypass design inaonesha ipo dedicated kwa malori ya mizigo mixito ndio maana imewekewa 3 bitumens layers pia kuna project ya TPA kupitia hiyo bypass kuna dry port itajengwa huko baada ya revamping ya Tanga Arusha meter gauge, nafikiri hata regional bus terminals zitahudumiwa na hiyo bypass.
 
Nimekuelewa vizuri tu hata mimi hii project naijua toka phase ya Namanga mpaka Longido mpaka Sakina (rehabilitation) then kutoka Sakina mpaka Tengeru (widening construction) na bypass yake (construction)

Najua sio dual carriage way mpaka Holili lakini kwa feasibility study inaonesha kutakua na dual carriage way mpaka KIA na zitajengwa kadri pesa inavyopatikana so baada ya kuonekana matumaini kupatikana zaidi billion 700 kwa hii project ya Arusha Holili Road project pamoja na Kigoma Port na Zanzibar water project ukiangalia hiyo pesa ni lazima hii project ya Arusha itapata zaidi ya 60% ya zaidi ya billion 700 ambapo itaweza kufikisha project mpaka KIA.

Kama kutakua na changes zozote nitajua ila hilo ndio lilikua kwenye latest studies.
It good thing umeandika mwenyewe kwenye hizo 700 bilion project ya arusha itapata nazani 400 bilion au itapelea kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo project imekula pesa nyingi sababu ya earthworks ya eneo la mradi hasa bypass pamoja na madaraja yapo mengi makubwa pia bypass design inaonesha ipo dedicated kwa malori ya mizigo mixito ndio maana imewekewa 3 bitumens layers pia kuna project ya TPA kupitia hiyo bypass kuna dry port itajengwa huko baada ya revamping ya Tanga Arusha meter gauge, nafikiri hata regional bus terminals zitahudumiwa na hiyo bypass.
Mkuu hela nliokueleza hapo haihusishi project ya by pass iko kivyake na inatumia 120 hadi 160 bilion ujenzi wake mkuu total cost ya upanuzi kutoka sakina mpaka tengeru na by pass zote mbili ni zaidi ya 250 mpaka 300 bilioni kwa hio io 400 kwa upanuzi sehemu ya arusha km 8.9 na moshi km 8 bado madaraja hususan la kikafu na usisahau udongo wa moshi unaitaji earthwork ya maana kwa io hio 400 haitoshi lazima gvt iongeze kidogo na kwenye project design pitia eac na jica na mwtc wizara bajeti mwaka jana utaona double way haifiki kia inaishia usa river ili iunge na by pass nazani wataweka na ka overpass pale japo sina uhakika mkuu nazani sa hv umenieelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
kuna sehemu nyingi tu huwa ni middle class na vile vile kuna upper class,mfano tabata ni kubwa kuliko hivyo vibanda vyenu na imejigawa mara 6 zaidi,tabata ni sehemu ambayo ina tabaka mbili yaani ina middle na upper ,,hivyo baadhi ya maeneo yetu mengi ya makazi yamejicategorize
unaweza kuta sehemu moja ina vitongoji vyake nakutolea mfano wa hiyo hiyo tabata,tabata imejigawa kama ifuatavyo

1.Tabata Bima
2.Tabata Chang'ombe
3.Tabata Segerea
4.Tabata Liwiti
5.Tabata Balakuda
6.Tabata Kimanga,n.k

najua nakuelekeza mtu ambaye ni kilaza hapo najaribu kukuonyesha ili ujue ni jinsi gani tabata ni kubwa vile vile tabata 99% ipo planned na ni kubwa sana hizi ni moja ya sehemu ya mazingira ya tabata yanavyoonekana kimakazi,na hauwezi pata aerial view ya pamoja ya tabata kwani ni kubwa kuliko mkusanyiko wote wa hizo estate zenu na hampawezi hata robo

TABATA

View attachment 1073730View attachment 1073731

Sent using Jamii Forums mobile app
hii mchanga tupu, na nyumba za villages type dyo middle class yenu,😂😂😂 mko chini sana
 
Back
Top Bottom