Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani toka uanze kupost nyumba za chini Tanzania hujafika hata robo ya zile nyumba za slums around Nairobi, in short masikini wa Tanzania ana hali nzuri kuliko wa Kenya
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Screenshot_20190417-104354.png
Screenshot_20190417-104534.png
 
Tanzania ni tamu acha tu, ukisafiri kwa bus kama ni mpenzi wa nature hutokinai safari kwa routes zote za Tanzania sababu mandhar ni superb kichixi
Sure Mkuu, hua naopt bus over jet kwenda mikoani. Kila safari za mkoa Tanzania ni kama tour vile
 
Yaani toka uanze kupost nyumba za chini Tanzania hujafika hata robo ya zile nyumba za slums around Nairobi, in short masikini wa Tanzania ana hali nzuri kuliko wa Kenya
Kabisa, Maskini wa Dar es Salaam kwa Nairobi ni sawa na wa kipato cha kati
 
Bring statistics from independent outlets usiteletee statistics za kijubilee hapa kutoka viunga vya kibera, nataka statistics without chances of being biased kama hizi

Current Kenyans struggling under the pool of poverty ni 53% OMG 😢
20190417_110009png.png

Tanzania kwa sasa population under poverty line ni less than 30% in 2019

2011 we were even far than you today
20190417_110053png.png

Kama mnakufa na njaa kama mbwa, do we really need to come back to this statistics wakati hilo lipo wazi kwamba mna ziki? 😁😁😁😁
 
and it's still a fishing village to date ndo maana wakasema hivo and a glorified village as well
We ni mjinga sana, hao hawakua na information ya kutosha wakacheki wikipedia kwa harakaharaka. Hivi kweli kuna haja ya kukuelezea hapo? mbona swala liko wazi
Tatizo wakenya mnaigopa sana Tanzania so mkipata chance ya kupaka matope hata kama njia ni ya kijinga mnakomaa hapohapo
 
Bring statistics from independent outlets usiteletee statistics za kijubilee hapa kutoka viunga vya kibera, nataka statistics without chances of being biased kama hizi

Current Kenyans struggling under the pool of poverty ni 53% OMG 😢
View attachment 1073987

Tanzania kwa sasa population under poverty line ni less than 30% in 2019

2011 we were even far than you today View attachment 1073988

Kama mnakufa na njaa kama mbwa, do we really need to come back to this statistics wakati hilo lipo wazi kwamba mna ziki? 😁😁😁😁
Look at how dumb you are. so you expect me to believe something written on Wikipedia? Wewe ni mwehu wa wapi? Afadhali ungenyamaza tu. Hata Mimi naeza Ingia pale Wikipedia nikaandika anything. I can even write that Tanzania is the most industrialized and developed country in the world with a bigger economy than Germany, Russia and England combined and people will still read it and stupid ones like you will even use the link to prove a point. Look at your life!!!
 
Sure, ujinga na uzumbukuku wa mkenya ni pale anapoforce kuwa Tz kuna njaa na ilhali hakuna sehemu hata moja wanaokufa kwa njaa na zaidi ni kuwa tunasaidia na majirani zetu, task kubwa tunayoikamilisha now nikuongeza vituo vya afya na madawa.

Jamani wakenya muipate hii: Hakuna mtanzania anaekufa kwa njaa, dawa zenyewe hawakosi sembuse chakula?
 
We ni mjinga sana, hao hawakua na information ya kutosha wakacheki wikipedia kwa harakaharaka. Hivi kweli kuna haja ya kukuelezea hapo? mbona swala liko wazi
Tatizo wakenya mnaigopa sana Tanzania so mkipata chance ya kupaka matope hata kama njia ni ya kijinga mnakomaa hapohapo
Tanzania ni nchi ya kuogopa?? Hahaha....kwa lipi haswa? An LDC country ghat built it's first elevated road in 2019wakati we gone tulianza kuona vitu Kama hizo kitambo. Nchi yenye infanya uzinduzi wa lift!!! Hiyo ni nchi ya kuogopa kweli?? Wachene matani jamani
 
Look at how dumb you are. so you expect me to believe something written on Wikipedia? Wewe ni mwehu wa wapi? Afadhali ungenyamaza tu. Hata Mimi naeza Ingia pale Wikipedia nikaandika anything. I can even write that Tanzania is the most industrialized and developed country in the world with a bigger economy than Germany, Russia and England combined and people will still read it and stupid ones like you will even use the link to prove a point. Look at your life!!!
😁😁😁😁😁 Ipo supportive references kwenye Wikipedia usifikiri hili suala la umasikini wenu ni suala dogo, Wikipedia wamejipanga na kuna links za studies kutoka trustworthy sources kwamba Kenya ni poverty pool in which extent
 
Back
Top Bottom