Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,641
- 15,744
Sure, ujinga na uzumbukuku wa mkenya ni pale anapoforce kuwa Tz kuna njaa na ilhali hakuna sehemu hata moja wanaokufa kwa njaa na zaidi ni kuwa tunasaidia na majirani zetu, task kubwa tunayoikamilisha now nikuongeza vituo vya afya na madawa.
Jamani wakenya muipate hii: Hakuna mtanzania anaekufa kwa njaa, dawa zenyewe hawakosi sembuse chakula?
