Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna sehemu nyingi tu huwa ni middle class na vile vile kuna upper class,mfano tabata ni kubwa kuliko hivyo vibanda vyenu na imejigawa mara 6 zaidi,tabata ni sehemu ambayo ina tabaka mbili yaani ina middle na upper ,,hivyo baadhi ya maeneo yetu mengi ya makazi yamejicategorize
unaweza kuta sehemu moja ina vitongoji vyake nakutolea mfano wa hiyo hiyo tabata,tabata imejigawa kama ifuatavyo

1.Tabata Bima
2.Tabata Chang'ombe
3.Tabata Segerea
4.Tabata Liwiti
5.Tabata Balakuda
6.Tabata Kimanga,n.k

najua nakuelekeza mtu ambaye ni kilaza hapo najaribu kukuonyesha ili ujue ni jinsi gani tabata ni kubwa vile vile tabata 99% ipo planned na ni kubwa sana hizi ni moja ya sehemu ya mazingira ya tabata yanavyoonekana kimakazi,na hauwezi pata aerial view ya pamoja ya tabata kwani ni kubwa kuliko mkusanyiko wote wa hizo estate zenu na hampawezi hata robo

TABATA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1073730View attachment 1073731

Sent using Jamii Forums mobile app
Napaona Tabata Bima. Kanisa Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme.

Kanisa la Tabata ni kubwa kuliko Cathedral Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sielewi kimombo lakini nishakula,haya mwenzetu unaeelewa kimombo umekula nini leo huko turkana
FB_IMG_1553181266641.jpeg
FB_IMG_1553181257659.jpeg
 
Ni kwa sababu hizo picha za Dar unazozibeza ni za watu wa hali ya chini zaidi, wanajaribu kukuonesha tofauti ya watu wa hali ya chini Dar na Nairobi. Watu wa tabaka la chini Dar ni binaadamu ila tabaka la chini huko Nairobi wanaishi kama nzi wa jalalani au funza wa chooni na ndio maana huwezi kuta slums DSM kwenye Google since hatuna huo uchafu
eti manyanga'au wanakuambia tabata,chang'ombe na sehemu nyinginezo ni slum yaani wanaongea vitu ambavyo hata hawavijui ,kuna nyang'au nimemnyoosha hajarudo tena kapita kimya kimya hajarudi tena kuquote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna sehemu nyingi tu huwa ni middle class na vile vile kuna upper class,mfano tabata ni kubwa kuliko hivyo vibanda vyenu na imejigawa mara 6 zaidi,tabata ni sehemu ambayo ina tabaka mbili yaani ina middle na upper ,,hivyo baadhi ya maeneo yetu mengi ya makazi yamejicategorize
unaweza kuta sehemu moja ina vitongoji vyake nakutolea mfano wa hiyo hiyo tabata,tabata imejigawa kama ifuatavyo

1.Tabata Bima
2.Tabata Chang'ombe
3.Tabata Segerea
4.Tabata Liwiti
5.Tabata Balakuda
6.Tabata Kimanga,n.k

najua nakuelekeza mtu ambaye ni kilaza hapo najaribu kukuonyesha ili ujue ni jinsi gani tabata ni kubwa vile vile tabata 99% ipo planned na ni kubwa sana hizi ni moja ya sehemu ya mazingira ya tabata yanavyoonekana kimakazi,na hauwezi pata aerial view ya pamoja ya tabata kwani ni kubwa kuliko mkusanyiko wote wa hizo estate zenu na hampawezi hata robo

TABATA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1073730View attachment 1073731L

Sent using Jamii Forums mobile app
Being selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.
Tabata 👇👇👇🤣🤣
Screenshot_20190417-095425.png
Screenshot_20190417-095651.png
Screenshot_20190417-095737.png

And by the way why did you just decide to focus on Tabata alone while I mentioned many other estates in my post? What about Buguruni, Chang'ombe, Sinza,Gongo la Mboto, Mwananyamala, Vingunguti, Ilala, Mabibo, Temeke, Tandika? Ama hizo sio mitaa za Dar?
 
Being selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.
Tabata [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1073934View attachment 1073935View attachment 1073936
And by the way why did you just decide to focus on Tabata alone while I mentioned many other estates in my post? What about Buguruni, Chang'ombe, Sinza,Gongo la Mboto, Mwananyamala, Vingunguti, Ilala, Mabibo, Temeke, Tandika? Ama hizo sio mitaa za Dar?
[emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ni tabata ya wapi.....?..unachukua tu picha Tabata hakuna vibanda umiza mzee baba kungekuwa tabata ningekukubalia,,,,,hiyo ni mitaa ya Manzese

unafel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Being selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.
Tabata 👇👇👇🤣🤣
View attachment 1073934View attachment 1073935View attachment 1073936
And by the way why did you just decide to focus on Tabata alone while I mentioned many other estates in my post? What about Buguruni, Chang'ombe, Sinza,Gongo la Mboto, Mwananyamala, Vingunguti, Ilala, Mabibo, Temeke, Tandika? Ama hizo sio mitaa za Dar?
Yaani toka uanze kupost nyumba za chini Tanzania hujafika hata robo ya zile nyumba za slums around Nairobi, in short masikini wa Tanzania ana hali nzuri kuliko wa Kenya
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ni tabata ya wapi.....?..unachukua tu picha Tabata hakuna vibanda umiza mzee baba kungekuwa tabata ningekukubalia,,,,,hiyo ni mitaa ya Manzese

unafel

Sent using Jamii Forums mobile app
aliyeandika "house for sale in tabata" si ni mkaazi wa Dar? Sio mimi nilipost, ni mtanzania mwenzako. Endeleeni Kukana Jiji lenu. Tushawazoea hata
 
Kwan ukiskia neno fishing village hapo unashangaa nn kwasababu dar ilianza na fishing industry toka enzi na enzi wapi unapata tabu???
and it's still a fishing village to date ndo maana wakasema hivo and a glorified village as well
 
Back
Top Bottom