Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanataka kubinafsisha bandari ya mombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ madeni madeni

 
Hio ni link[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nilichoona mombasa tuktuk ni nyingi kuliko gari

Leta official link au ni hio picha imekupa matuamini
na serikali ilijua kabisa kuwa wananchi wake hawawezi kuhumudu kulijenga jiji la nairobi kwani kipato hawana pia hawana wajenzi bora watakaoweza kubuild majengo yenye ubora ndiyo maana serikali yao imeomba omba sana wawekezaji wawatengenezee estate,,,,,,
laiti wangepewa uhuru wa ardhi majengo yote ya nairobi yangekuwa hivi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa!!sasawa naona tandale imeshinda hadi umoja...
Tuletee hzo middle class kw majina zenye tutazilinganisha na runda...bwahaaaaa...hapa yani hutoki...hta ukiruka ruka...

Ukwel ni kwamba huez nitajia sehemu yeyote ya middle class dar...na kiherehere yenu si mgelikuwa mmeshanitajia kw mbwembwe..

Google earth ndio kiboko yenu...
Hehee..eti kariobangi,githurai...yani nimecheka sana...

Haya nasubiria hzo middle class ligi ya runda...
 
Haya leta ushahidi google earth tuamini maneno yakoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ona hiiπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1073087
google earth haitambui slums huko Dar coz the whole of dar is slum,hence the general name dar es Salaam,meaning dar is slum,,right, hope umesoma kitu leo.
 
Hehhe area is nothingπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inaonekana hesabu ulikua mtoro shuleni

Inamaana google earth haijaona slum in dar ?????😁😁😁
haiwezi ona because dar yote ni slum,,the name dar es salaam comes from the word 'dar is slum,so hakuna venye google maps itajirudia kuandika slum kipla place in dar,
 
haiwezi ona because dar yote ni slum,,the name dar es salaam comes from the word 'dar is slum,so hakuna venye google maps itajirudia kuandika slum kipla place in dar,
Yani mzungu aeke settelite ya trillion of shs juu ya dunia alaf isione slum kwa vile technology ya mzungu haina akiliπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Pumzika kwa leo plz plz
 
google earth haitambui slums huko Dar coz the whole of dar is slum,hence the general name dar es Salaam,meaning dar is slum,,right, hope umesoma kitu leo.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Yani mzungu aeke settelite ya trillion of shs juu ya dunia alaf isione slum kwa vile technology ya mzungu haina akiliπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Pumzika kwa leo plz plz
 
kuna sehemu nyingi tu huwa ni middle class na vile vile kuna upper class,mfano tabata ni kubwa kuliko hivyo vibanda vyenu na imejigawa mara 6 zaidi,tabata ni sehemu ambayo ina tabaka mbili yaani ina middle na upper ,,hivyo baadhi ya maeneo yetu mengi ya makazi yamejicategorize
unaweza kuta sehemu moja ina vitongoji vyake nakutolea mfano wa hiyo hiyo tabata,tabata imejigawa kama ifuatavyo

1.Tabata Bima
2.Tabata Chang'ombe
3.Tabata Segerea
4.Tabata Liwiti
5.Tabata Balakuda
6.Tabata Kimanga,n.k

najua nakuelekeza mtu ambaye ni kilaza hapo najaribu kukuonyesha ili ujue ni jinsi gani tabata ni kubwa vile vile tabata 99% ipo planned na ni kubwa sana hizi ni moja ya sehemu ya mazingira ya tabata yanavyoonekana kimakazi,na hauwezi pata aerial view ya pamoja ya tabata kwani ni kubwa kuliko mkusanyiko wote wa hizo estate zenu na hampawezi hata robo

TABATA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazileta tu[emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116]

Iyo barabara kutoka tengeru hadi holili njia nne...ikifika pale njia panda ya kwenda KIA Inaenda hadi uwanjani....manake kutoka Arusha-Moshi-Holili itakua njia nne...highway moja ndefu sana ni zaidi ya 100km hapo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hamna tofauti na jalala hapo
 
Ni kwa sababu hizo picha za Dar unazozibeza ni za watu wa hali ya chini zaidi, wanajaribu kukuonesha tofauti ya watu wa hali ya chini Dar na Nairobi. Watu wa tabaka la chini Dar ni binaadamu ila tabaka la chini huko Nairobi wanaishi kama nzi wa jalalani au funza wa chooni na ndio maana huwezi kuta slums DSM kwenye Google since hatuna huo uchafu
 
πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1073557
Mlivyo naakili fupi hamuwezi kuelewa ila nikusaidie ili sikuzingine usidandie treni kwa mbele. Raisi wetu kwenye mikutano yake na wananchi lazima aweke na utani kidogo na huo ulopost ni wakutumia akili ya kawaida sana na huenda hata hao bbc wanalifahamu hilo na wana maana yao kupost hivyo ila Watanzania wote wanajua hilo. Utani wa namna hii tumeupa msemo "ametoa boko", karibu zama za wahenga wa enzi za Magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…