Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
[emoji3][emoji3][emoji3]hizo nilizokuteulia ndiyo za dar,halafu wacha masihara buda yaani huo uchafu wa hayo maeneo unataka kucompare na hayo maeneo ya watu wanaoishi mazingira yabkawaida ya dar,we kweli unaumwaAsante kwa kukubali kwamba nyingi za hizo picha ni zar Mitaa za dar (japo najua zote ni za dar). Kuna mwenzako hapo alizikana zote. Hiyo kando, nini cha kufurahisha sana kwa hizo numbs mshinde mkitujajia vile mmejenga numbs dar? All I can see are very simple houses with corrugated iron sheets in very disorganised estates. No planning at all. Utasema niko na uzalendo ila ukweli ni kwamba huwezi pata nyumba kama hizo Nairobi nje ya slums. Ni ukweli pia kwamba nyingi za nyumba za dar zinafanana hivyo. Ni vigumu sana kupata nyumba Kama Hizo Donholm, Umoja, Embakasi, Kayole, Imara Daima, Pipeline, Kasarani, Kahawa, Komarock, na mitaa mengine Kama hayo. Those are low middle income estates
kayole huu ni uchafu gani sasa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app