Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we

wadhani Nairobi ni mapori???is called planning of mega cities,is not like poor Dar congested ata hewa haina,thats why we say is unplanned city
[emoji16][emoji16]eti hewa hamna. Dar iko congested na iko na eneo kubwa sana kuizidi scattered nairobi, sijui ingekuwa nayo scattered ingefika wapi.
 
SWALI LA MSINGI

kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
watakwambia wanaishi kwenye "estates" in reality ni huu uchafu
a84c8c958bdf7bfa4ffe495526e959cb.jpg
tehcvbqjkj12m0cj5713382e522e2.jpg
 
we

wadhani Nairobi ni mapori???is called planning of mega cities,is not like poor Dar congested ata hewa haina,thats why we say is unplanned city
Planning of over 40slums๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kwanza unatakiwa ujue dar city area ni 1600km sq

Nairobi ni 690km sq city area

So divide by city population jibu lako utalipata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
wah,sa hii dyo nini,small and outdated building, cant compete even with our estates
Nakuonesha vile watu wanamiliki nyumba zao sio nyinyi munaokaa kwenye estate za investors kazi yenu kulipa rent na ardhi hakuna๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ robo ya kenya anamiliki kenyatta
 
Planning of over 40slums๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kwanza unatakiwa ujue dar city area ni 1600km sq

Nairobi ni 690km sq city area

So divide by city population jibu lako utalipata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
area means nothing,what i see speaks louder,Dr is unplanned city,90% ni slum
 
Planning of over 40slums[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanza unatakiwa ujue dar city area ni 1600km sq

Nairobi ni 690km sq city area

So divide by city population jibu lako utalipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji16][emoji16][emoji16]hawa mabwana hujidharirisha sana na elimu yao, utashangaa wanasoma nini shuleni!!!
 
slum zones in Dar
1.mbagala
2.mtoni
3.tandika
4.temeke
5.manzeshe
6.tandale
7.mabibo
8.sinza
9.tabata
10.segerea
 
area means nothing,what i see speaks louder,Dr is unplanned city,90% ni slum
Hehhe area is nothing๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ inaonekana hesabu ulikua mtoro shuleni

Inamaana google earth haijaona slum in dar ?????๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
slum zones in Dar
1.mbagala
2.mtoni
3.tandika
4.temeke
5.manzeshe
6.tandale
7.mabibo
8.sinza
9.tabata
10.segerea
Evidence from google map, itapendeza[emoji38][emoji38][emoji38].

Go and search with any keyword, utajua hujui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom