Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

staishi na kazi ya kurepost, go back to the previous posts utaziona...

Umepost nini wewe unatufanya sisi wehu humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani unatudanganya kweupee kua munajenga BRT hahah ila wakenya sijui wapi mulimkosea Mungu
 
Reactions: Oii
Wakenya wameokota renders za google wanakwambia inajengwa ukiwauliza wapi hawajuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1037972
Every major project must have renders, hata hiyo brt yenu had renders at some point before it came to actualization. Ama hiyo yenu ilishuka kutoka mbinguni? The render above is Mombasa rd. On the left is Airtel
African headquarters and on the right is Furniture Palace
 
So unatudanganya hio render ndio munajenga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya nidanganye munajenga wapi???? Aisee munachekesha sana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† acheni utani ndugu mombasa road inafanyiwa expansion ila msitudanganye munajenga BRT wakati haikua kwenye plan..punguzeni ujinga na sifa 🀣🀣🀣
Labda muwadanganye nigeria sio sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…