ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sasa kati ya Mimi na wewe alianza na swali nani na hilo swali umelikuta kwa nani????😀😀😀Wewe ungeenda shule sidhani kama ungefaulu!!! hehehe 😀... unakaza kichwa kichizi... Fatilia comment zangu toka mwanzo mimi nilichokuuliza ni wamiliki wa dreamliner hayo mengine umeongezea wewe.
Eti mnunue dreamliner cash dunia usijue 🙂🙂
Labda dunia nyingine hiii so kwakifupi huna jibu na hutakua nalo😛😛😛😛