Kwahyo mko juu?darasa la wajinga ukipata 30%wewe Ndio una akilihiyo wikipedia unayoisifia sana Nairobi kwenye urban population iko number 76 in the world Dar 92 whicj urban were you talking about
As usual ahhahahaahahahhahahaIts true your city looks like a concrete slum
Na hio ni how many paercent jihukumu mwenyewealafu naona 70% ni slum dwellers maskini!!!
Kwanza tayari data zishkuumbua hahaaha hizo data za mwaka gani maana dar urban area ni 1590.5 km sq usikariri dar ile ya 90s baba utaumia sana sasa hvi tuko 2017 tumejenga nchi ya miaka 10 tu na bado ndio tunaanza hahhaahahahhaha😀😀😀😀😀😀Nairobi is Kenya’s capital and the country’s
largest city. It has an estimated population of
about 3.5 million residents of whom, 60 percent
live in slum poverty according to a 2014 World
Policy report. With suburbs included, it has an
estimated population of 6.54 million according to
the World Population Review.
umeona hapo 6.5m
dar hii hapa
Dar es Salaam, Tanzania – 4.36
million
The 565 square-kilometer Dar es Salaam is
Tanzania’s largest city. It’s also the largest port
city in East Africa, and has a population of about
4.36 million residents according to 2012 country
census. These account for 10 percent of
Tanzania mainland population, excluding
Zanzibar, according to a UNFPA 2013 report.
According to a World Bank report, 70 percent of
Dar es Salaam residents live in informal,
unplanned settlements on about a dollar a day.
The settlements lack proper roads, water, toilets
and sanitation is poor. Still Dar es Salaam is
Tanzania’s hub for industry, education, and the
economy. This former capital according to UN
Habitat generates 70 percent of the national
gross domestic product.
l
weka usihofuwapi za Tandale na manzeshe? ama niweke
safi aiseee ngoja namimi nitatia nguvu ujue hawa hawana akili nairobi ile center yao ni kadogo sana ndyo maana majengo ni yaleyaleWazee wa chawapoke.....chama cha watoa povu kenya😀😀😀😀😀😀😀
Aaaaa bhana! Ndo Unajitoa faham kabisa?! Usipindishe mada yetu, dalili za povu hizo!Kwakwakwa yani leo hii Wikipedia encyclopedia pamoja na Google map waongoa wanaionea nairobi hahhahahhahh acheni uwendawazimu nairobi itabaki kua 696 km sq na haitafutika na bado inaingia kwa dar Mara 3 rudia tena Mara ..........usiforce kitu ambacho hakipo....pole sana naona umekosa raha😀😀  unatia huruma pumzika baba😀😀😀😀
Is not about having a dreamliner, Kenya has tens of Dreamliners, they are Launching a brand "Magical Kenya" on some of the Dreamliners
leased ones, did you bought even one, maana unavosema kama mumenunua nyie vile😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
It is always more prudent you know something before mouthing,
The 10 Dreamliner 787's were ordered and built by Boeing, they were manufactured under an order
Kenya Airways acquires Boeing 787 Dreamliner | The Herald
Niletee source acha maneno mengi kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote sio tu dream liner ya aina yoyote
Wanjala mkenya anaenifurahisha sana amekosa facts kwa kifupi ndio ufahamu kwanzia leo kua ndege zote za kenya airways ni za kulease....asante kwa kunielewa
Haya basi waambie wame-lease dreamliner kutoka kampuni au airline ipi na uwape na link kabisa ukipata!
Wanazo link kibao waliweka wenyewe😀😀😀😀
Nimezipitia zote, hakuna inayotaja dreamliner wame-lease kutoka wapi! We Wape hiyo yakuonyesha kabisa wamiliki was hizo dreamliner ndo utawanyamazisha vizuri.😀😀
Muulize wanjala anajua zaidi😀😀😀😀😀
Weka link😡😡🙄
Ukweli mchungu enhhhhh😀😀😀😀
Wazazi wako pia wako hivi?
Wazee wa chawapoke.....chama cha watoa povu kenya😀😀😀😀😀😀😀
Mi nilidhania unachoongea cha kweli kumbe umetunga, basi we komaa nao!
Unajitoa akili waulize wenzio basi😀😀😀😀😀
Hehehehe.... kama nakuoa ulivyoishiwa bundle ukitafuta link lakini wapi!!! leo utalalia povu la link! heheheKutafuta ukweli sio ukenya na wala haiwezi kumtoa mtu povu hata sikumoja!! Haijawai tokea. Nina wasi wasi na wewe unaepindisha ukweli? Lazima una ka povu kanakuandama 😀😀😀. Ukweli haubadiliki hata ujidanganye mara buku zaidi zaidi utaanza kuona povu😀.
Mdogo wangu, kutetea uwongo sio mchezo! OMO haitoona ndani kwa povu utakalotoa!!😀
Kwakwakwa pole sana bro pumzika 😀😀😀Aaaaa bhana! Ndo Unajitoa faham kabisa?! Usipindishe mada yetu, dalili za povu hizo!
Haya ngoja nikukumbushe toka mwanzo....
Hehehehe.... kama nakuoa ulivyoishiwa bundle ukitafuta link lakini wapi!!! leo utalalia povu la link! hehehe
ka-edit hata wikipedia basi, manake hilo povu! sidhani kama usingizi utapatikaa!!!
hahahaha.... ichoboy01 mdogo wangu, dah!! nakuaminia!
Kama nakuona na uso wa aibu, bundle ndo inaishilizia lakini link haijapatikana!!!! Hehehe ichoboy01 wa 2017 uongo? Link ni ya 1970 au? Hehehe..... lala tu mdogo wangu hizi link sometime zinapoteaga labda kesho utaipata. Usikonde heheheKwakwakwa pole sana bro pumzika 😀😀😀
Mwaka huu mbaya niliwaambia mimi toka mwanzo tanzania sio ya miaka ile hahhha🙂🙂
Wanjala alibakia kulialia ananiletea link za ajabu akaja cholomziii akatoa povu hahhahaha mm hakuna kitu kuhusu kenya utanifundisha wewe pamoja na wenzako hii ndio tanzania 2017 na ndio tunaanza sasa hahhahaha 1590.5 km sq vs 696 km sq ahahhahaha bado munataka ushindani serious😀😀😀😀😀 yani kusanya nairobi Mombasa na kisumu munaishia hapa 1196 km sq haahahhahahahah 🙂🙂🙂🙂Kama nakuona na uso wa aibu, bundle ndo inaishilizia lakini link haijapatikana!!!! Hehehe ichoboy01 wa 2017 uongo? Link ni ya 1970 au? Hehehe..... lala tu mdogo wangu hizi link sometime zinapoteaga labda kesho utaipata. Usikonde hehehe
Ona sasa unavotapatapa! Naanza kukuonea huruma!Wanjala alibakia kulialia ananiletea link za ajabu akaja cholomziii akatoa povu hahhahaha mm hakuna kitu kuhusu kenya utanifundisha wewe pamoja na wenzako hii ndio tanzania 2017 na ndio tunaanza sasa hahhahaha 1590.5 km sq vs 696 km sq ahahhahaha bado munataka ushindani serious😀😀😀😀😀 yani kusanya nairobi Mombasa na kisumu munaishia hapa 1196 km sq haahahhahahahah 🙂🙂🙂🙂
Tulia baba pumzika hahhahahaha
 isije hydrogen ikabadilika kua oxygen
Ichoboy anakuteseni sana naona 😀😀😀
Unaniuliza mm nikujibu au uulize kanpuni yenu ila nakupa taarifa ambayo wewe huijui kenya airways haijanunua ndege hata moja na zote wame lease kaangalie washirika wenu wanaomilikia asilimia kubwa kenya airways wakiwemo KLM na wengineo ndio utapata information kama wewe unayo link kua kenya airways imenunua ndege cash kwanini ubabaike niletee hapa mm ctaki maneno mengi mm nataka source inayoeleweka kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash, niletee hapa......wanjala alikimbia hahhahahahhaha tatizo lenu sifa nyingi alaf hamujui muko position gani????? Sasa nitafutie link au source ya kimataifa kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash 😀😀😀😀😀naisubiria hapa nakupa siku mbili unitafutie....maneno mengi ctaki🙂🙂🙂Ona sasa unavotapatapa! Naanza kukuonea huruma!
Mimi huko kwenye sqm sipo wala sijawai kuongelea... hahaha povu linakutesa!
Umesema Kenya airways hawana ndege hata moja, zote wamekodi. Swali langu dogo sana, hizo dreamliner wamekodi ukipenda wamelease kutoka airline ipi? Au kampuni gani?
Hivi wewe si Ulikua unatafuta link? Umekuaje tena? Au povu imekua too much?! Hahaha. Povu la 2017 sio mchezo!! ......... ushauri wa bure, tafuta cha kukatia hilo povu kisha ulale! Najua unataka utumie bundle ya usiku kutafuta link lakini angalia kwanza usalama wa mdomo wako! povu jingi ni hatari kwa afya yako ichoboy01 mi nakuambia! Ohooooo!!! Hizi link zipo tu mdogo wangu, hata Kesh uta google
Kampuni ya kwenu sio yakwangu mm niletee source ya kimataifa inayosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash maneno mengi ya nini baba nilimpa kazi hio wanjala akawa anarukaruka tu sio dreamliner tu niletee source ya ndege aina yoyote kua kenya airways imenunua Ona sasa unavotapatapa! Naanza kukuonea huruma!
Mimi huko kwenye sqm sipo wala sijawai kuongelea... hahaha povu linakutesa!
Umesema Kenya airways hawana ndege hata moja, zote wamekodi. Swali langu dogo sana, hizo dreamliner wamekodi ukipenda wamelease kutoka airline ipi? Au kampuni gani?
Hivi wewe si Ulikua unatafuta link? Umekuaje tena? Au povu imekua too much?! Hahaha. Povu la 2017 sio mchezo!! ......... ushauri wa bure, tafuta cha kukatia hilo povu kisha ulale! Najua unataka utumie bundle ya usiku kutafuta link lakini angalia kwanza usalama wa mdomo wako! povu jingi ni hatari kwa afya yako ichoboy01 mi nakuambia! Ohooooo!!! Hizi link zipo tu mdogo wangu, hata Kesh uta google
Yani cha ajabu nachokiona leo kua kampuni yakwenu lakini huna ulijualo 🙂😀😀😀Ona sasa unavotapatapa! Naanza kukuonea huruma!
Mimi huko kwenye sqm sipo wala sijawai kuongelea... hahaha povu linakutesa!
Umesema Kenya airways hawana ndege hata moja, zote wamekodi. Swali langu dogo sana, hizo dreamliner wamekodi ukipenda wamelease kutoka airline ipi? Au kampuni gani?
Hivi wewe si Ulikua unatafuta link? Umekuaje tena? Au povu imekua too much?! Hahaha. Povu la 2017 sio mchezo!! ......... ushauri wa bure, tafuta cha kukatia hilo povu kisha ulale! Najua unataka utumie bundle ya usiku kutafuta link lakini angalia kwanza usalama wa mdomo wako! povu jingi ni hatari kwa afya yako ichoboy01 mi nakuambia! Ohooooo!!! Hizi link zipo tu mdogo wangu, hata Kesh uta google
Hahhaahahhaahaha 😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sometimes I wonder why people still argue with this boy. SMH. Some people's idiocy reeks so hard I can't even fathom typing their name.