Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pesa wanayo make wanamziki wa kenya, inatosha tu kulipia rent kwenye apartment za wakikuyu jijini nairobi. ila sio kufanya investment.
IMG_20190103_210340.jpeg
 
Next cities are Moshi and Moro
Kuna mradi flan wa kujenga highway kutoka Arusha hadi Holili kenya 4ways ,wameshanza awamu ya kwanza kutoka tengeru hadi sakina 14km ,Moshi kuna vitu vichache tu wakiweka na kuongeza eneo tayari inakua city

Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha tuufanye uwe mji wa kimataifa sababu ni kitovu cha utalii na pia kuna international agencies kama UN, AU Court na EAC na agencies zake. Arusha wajenge stendi ya mabasi na daladala za kisasa na sio huu ujinga uliopo sasa hasa pale Kilombero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaitwa uwanja wa mao ze dong ..kuwa na viwanja kama hiv ni muhimu sana kwa sababu ku host michuano mikubwa lazima viwanja vya mazoezi viwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly hapo Zanzibar kuna Amani Stadium upo vizuri jumlisha uwanja wa taifa na uhuru Dar, Kirumba mwanza na huo mpya wa dodoma utakaojengwe plus renovations za viwanja vngine. Tunaweza anza kuota kuhost AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly hapo Zanzibar kuna Amani Stadium upo vizuri jumlisha uwanja wa taifa na uhuru Dar, Kirumba mwanza na huo mpya wa dodoma utakaojengwe plus renovations za viwanja vngine. Tunaweza anza kuota kuhost AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afcon inahitaji viwanja vinne tu
Viwili visivyopungua 40k
Na vingine viwili visivyopungua 20k

Dar National stadium ina 60k
Underconstruction Dodoma itakuwa 80k sijui itaisha lin tho

Tuki renovate kirumba yenye 30k capacity
Renovate Uhuru stadium yenye 40k capacity
Sheikh abeid karume iwe 20k plus
Na znz kuwa 20k plus
Tunahost Afcon vzur


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom