Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Next cities are Moshi and Moro
Kuna mradi flan wa kujenga highway kutoka Arusha hadi Holili kenya 4ways ,wameshanza awamu ya kwanza kutoka tengeru hadi sakina 14km ,Moshi kuna vitu vichache tu wakiweka na kuongeza eneo tayari inakua city

Sent using Jamii Forums mobile app

Sure, hivi mwenye kujua kuhusu uchimbaji wa madini yaliyopo milima ya pare na sambara atusaidie link maana nasikiaga tu wenyeji wakipelekwa mahakamani kwa uchimbaji haramu na pia wanakijiji wa upareni wakilalamikia changes za mto wao moja kutokana na shughuli za machimbo. Pia wakenya saba walikamatwaga wakisneak madini ya rubi kupitia mbuga ya mkomanzi, update please
 
Kuna madini gani iyo siipat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kaka ila kwny uchumi kuna kitu kinaitwa Government Failure Theory vs Market Failure Theory....kuna vtu serikali ina ulazima kabisa wa ku-intervine ili mambo yaende sawa ndivyo ninavyoviongelea mimi sasa!!!!Baadhi ya maeneo Dar kutokuwa sawa yamesababishwa na kupuuzia theory kama hizi ambazo zinashikamana kbs na maisha yetu ya kila siku.
True
 
Next cities are Moshi and Moro
Kuna mradi flan wa kujenga highway kutoka Arusha hadi Holili kenya 4ways ,wameshanza awamu ya kwanza kutoka tengeru hadi sakina 14km ,Moshi kuna vitu vichache tu wakiweka na kuongeza eneo tayari inakua city

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha sasa nchi nzima itakua ya ma Citiz
 
breathtaking...
IMG_1546531202.102434.jpg
 
Back
Top Bottom