Na hii ndio barabara ya hayo mabus,jamaa awaishiwi vituko!Kenya yaagiza mabasi 64 ya mwendokasi baada ya mabasi yanayozalishwa nchini humo KUTOFIKIA VIWANGO! Baadae wataagiza mabasi mengine kutoka China.
Tutajua umuhimu wake pale atakapo Ng'atukaPia jamaa ametembea nchi nyingi maarufu sana na anwatambua vizuri. So yuko vizuri kwelikweli, ingawa kuna wanaong'ang'ana na mapungufu yake lakini natamani watu wakumbuke hakuna binaadamu aliekamilika isipokua inatupasa tukubali kujitoa kwake ambako wengine walishindwa. Na pia ukichambua mapungufu ya waliopita kwa umakini utagundua jamaa ndio yupo kamili
Na hii ndio barabara ya hayo mabus,jamaa awaishiwi vituko!View attachment 984524






hapo ukute wakikuyu wachache wameandaa mpango wa kupiga pesa ya public kwa maandalizi ya uchaguzi wao ujao.Kenya yaagiza mabasi 64 ya mwendokasi baada ya mabasi yanayozalishwa nchini humo KUTOFIKIA VIWANGO! Baadae wataagiza mabasi mengine kutoka China.