game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
haya majamaa bado yapo nyuma sana kwenye masuala ya tehama.
pado traffic wao wanatoza fine kizamani, kwa kuandika manually kwenye karatasi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]
View attachment 985047
Mimi huwa nashangaa zile plate Namba zao, kama zimechorwa na Mkaa, hahahah