THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Msijesema sikusema baada ya miaka kumi battle hii itabadilika itakuwa DODOMA vs NAIROBI maana kuna malalamiko Nairobi haiko COAST,huyu mzee mpk anatoka madarakani......mie sina la kusema cheki DODOMA inavyosukwa No Joke mazee!!! Na huyu Mheshimiwa ni mtu wa matokeo hiyo ni kawaida yake tunajua.Bravooooo!!!!!

