Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
nilijua umekufa mzee wa iphone7 kumbe upo karibu sana....kwa mara nyingineAfter a busy week am back.....I hope Ichoboy has matured
nilijua umekufa mzee wa iphone7 kumbe upo karibu sana....kwa mara nyingineAfter a busy week am back.....I hope Ichoboy has matured
Nachokueleza hapa tanzania ni nchi kubwa so usifkiri trunk roads kueka lami zote ni kitu cha mchezo so tunaejenga Barbara kwa kasi zaidi na kwa sasa hvi maeneo mengi yanapitika kwa urahisi sanaYani kilometer ya Tz ni different na ya Kenya
Land size yenu ni 2 times ya Kenya na paved roads yenu ni 1/2 ya Kenya
Mimi nakuaga busy bwana si SAA zote hapa ka nyienilijua umekufa mzee wa iphone7 kumbe upo karibu sana....kwa mara nyingine
Aii iyo excuse yako siezi buy....trunk roads za Kenya yenyewe imezidi yenu..si ukubwa wa nchi tunaongelea ni Barbara tunaongeleaNachokueleza hapa tanzania ni nchi kubwa so usifkiri trunk roads kueka lami zote ni kitu cha mchezo so tunaejenga Barbara kwa kasi zaidi na kwa sasa hvi maeneo mengi yanapitika kwa urahisi sana
wew mzee wa iphone7 usibishe usichokijua mikoa mitatu tu kwa tz ndyo haipo connected hyo link unajisumbua tuna barabara nyingi sana na zenye umbali mrefu kuliko kenya hyo link imekudanganya na watakuwa wame copy na ku pest data za zamani sana.....Tuna link ya total paved in Tanzania...na total road network... Nauache kutusumbua.... Jubilee’s 10,000km road project still on course - Transport CS
Let's Data zako basi...sitaki kelele za vuvuzela hapa..nataka vi2 za maanawew mzee wa iphone7 usibishe usichokijua mikoa mitatu tu kwa tz ndyo haipo connected hyo link unajisumbua tuna barabara nyingi sana na zenye umbali mrefu kuliko kenya hyo link imekudanganya na watakuwa wame copy na ku pest data za zamani sana.....
Hio data uliosoma wewe ni ya muda sana imepita Lemmy find for u data za 2016 at least upate picha kua mpoleNaelewa TZ ni kubwa but total paved roads ndio hizo. paved roads Africa si km nyingi, they are mostly the major roads. But hio ni data from your government's website, so we go by it for now. Lakini niko sure you guys are paving more roads
We ni mjinga about 90% za roads zilidesigniwa kitambo sana so ni paving ndio inaongezwa 2...so upuzi yako ya 2016/17 sitakiHio data uliosoma wewe ni ya muda sana imepita Lemmy find for u data za 2016 at least upate picha kua mpole
bize wap bando ulikuwa hauna weweMimi nakuaga busy bwana si SAA zote hapa ka nyie

wew hata nikikupa data hiyo kichwa yako imesha expire ngumu kuelewa....aiseee mpaka tuipige window 10Let's Data zako basi...sitaki kelele za vuvuzela hapa..nataka vi2 za maana
MTU anaeza nunua iPhone hakose bundles?bize wap bando ulikuwa hauna wewe![]()
![]()
![]()
![]()
siumeona kichwa yako ilivyo na matatizo hata tuki iscan inakataa hapo ni tutakupiga window inabidi tuku update uwe mpya wakisasaWe ni mjinga about 90% za roads zilidesigniwa kitambo sana so ni paving ndio inaongezwa 2...so upuzi yako ya 2016/17 sitaki
Kijana kuna ki2 inaitwa data analysis na kuna software mingi za analysis yenye hujui kutumia...kazi yangu data analysis usilete ujinga hapa...hizi ndio softwarewew hata nikikupa data hiyo kichwa yako imesha expire ngumu kuelewa....aiseee mpaka tuipige window 10
I know Tanzania well..despite the govt owning land it has few roads.. Namnaimba CCM tusiumeona kichwa yako ilivyo na matatizo hata tuki iscan inakataa hapo ni tutakupiga window inabidi tuku update uwe mpya wakisasa
hahaaa eti hutaki utaki nini sasa ngoja uletewe ujue tanzania na usiijue kwa kuotea otea tu
I know Tanzania well..despite the govt owning land it has few roads.. Namnaimba CCM tu
Iyo ni Kenya ya huko kwenu....Kenya iliimprove infrastructure yake peke yake na sai sana pave more 10000 km by 2020 iyo italeta total paved to 25000 yenu 7000 na nchi yenu na wananchi ni wengi ila magari ni machacheI know Kenya well, hakuna barabara iliyojengwa na Mkenya mweusi ukiondoa Thika highway, zote ni Muzungu kajenga, Tanzania hatukurithi Barabara yoyote ya lami ktk kwa Mzungu zote tumejenga wenyewe!!
Matusi sitaki nimekwambia hizo data aliazoweka mwenzako ni za muda kidogo ngoja nimletee data za 2016 apate picha sasa unachobishana ni nini hapoWe ni mjinga about 90% za roads zilidesigniwa kitambo sana so ni paving ndio inaongezwa 2...so upuzi yako ya 2016/17 sitaki
Iyo ni Kenya ya huko kwenu....Kenya iliimprove infrastructure yake peke yake na sai sana pave more 10000 km by 2020 iyo italeta total paved to 25000 yenu 7000 na nchi yenu na wananchi ni wengi ila magari ni machache
Iyo excuse yako ya 2017 inaonyesha vile wewe hunaga cha maanaMatusi sitaki nimekwambia hizo data aliazoweka mwenzako ni za muda kidogo ngoja nimletee data za 2016 apate picha sasa unachobishana ni nini hapo