Mkuu nimekamua huo mkeka last week, nimepenya hadi chunya aisee, Kote ni Paved yaani mkeka wa maana, tena hayo maeneo zingatia tu vibao vya 50, kwengineko maliza dashboard,
Wakati narudi juzi toka Iringa hadi mikumi niliongozana na Probox ya mkenya mmoja akasifia sana huo mkeka, alikuwa ametokea Zambia na alinambia wakati anaenda alikatiza Arusha- Dodoma-Iringa, Mbeya, jamaa ana probox ila tulikula sahani moja..
Aisee ni kati ya Barabara za Viwabgo vya juu sana halafu ni over 800km,
Nimekula christmass nyanda za Juu kusini mwa Tz nimecome back kukamua mwaka mpya mjini,