Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Wanamuhofia jamaa.....Duh DSTV kweli mabeberu. Baada ya kuona Azam kaleta FA cup nao wameirudisha kwenye package zao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamuhofia jamaa.....Duh DSTV kweli mabeberu. Baada ya kuona Azam kaleta FA cup nao wameirudisha kwenye package zao!
Itasaidia kufanya wateja wao(DSTV) wasihame kufuata FA cup and trust me wataweka kwenye cheapest bouquet kama La Liga.haitasaidia...kitakacho mbeba azamtv ni commentaries za kiswahili zenye vionjo vya kiswahili.
pili studio zao kuwa dar es salaam zitawafanya wawe rahisi zaidi kuwa interactive na mashabiki na wadau wa soka wa hapa nyumbani ambao ni wengi sana.
tofauti na dstv, studio zao hazipo tanzania, zipo SA. ndio maana huwa inawalazimu kila wikiendi kuwasafirisha akina kibonde kwenda SA kufanya commentary za kiswahili.
ila mwarabu mbishi sana yule... huko anakoenda ipo siku atakuja kupata kibali cha kuonyesha FA.Itasaidia kufanya wateja wao(DSTV) wasihame kufuata FA cup and trust me wataweka kwenye cheapest bouquet kama La Liga.
Wakenya wivu mwingi na watakomanasikia wasafi jana waliharibu show kidogo... lakn bado hela walizikusanya 🤣🤣🤣
View attachment 982816View attachment 982817View attachment 982818
it's too late... wanatoa povu wakati mwanaume tayari kashapiga pesa.nasikia wasafi jana waliharibu show kidogo... lakn bado hela walizikusanya
View attachment 982816View attachment 982817View attachment 982818






Kizuri bwana chajiuzanasikia wasafi jana waliharibu show kidogo... lakn bado hela walizikusanya 🤣🤣🤣
View attachment 982816View attachment 982817View attachment 982818
Kuna uwezekano mkubwa wakafanya hivyo.. ila atakua ameipata pinch maana mwisho itagusa mapato yake. Ata kitendo cha kupeleka watu sauzi kila week end kimetokana na Azam kuomba rights kwa gear ya kiswahili. DSTV wana feel pinch ya Azam vizuri sana. Azam alipatia sana alivyo anza na ligi ya bongo, Bongo kuna watu wana penda TPL kuliko EPL. Halafu sioni namna ambavyo DSTV anaeza shinda rights za TPL ila kuna uwezekano Azam akapata haki za EPL ila siyo kwa Africa nzima.Itasaidia kufanya wateja wao(DSTV) wasihame kufuata FA cup and trust me wataweka kwenye cheapest bouquet kama La Liga.
Magufuli Mungu ampe maisha marefuThis project coming up nicely
Mtwara Port Expansion Started
source: Mtwara Port Expansion Works Started - TanzaniaInvest
On March 4, 2017 Tanzanian President John Magufuli placed the foundation stone for the expansion works at the Mtwara port in southern Tanzania.
The construction works for a new 350-meter long berth will take 21 months to be completed.
This will greatly enhance the port’s capacity to accommodate large vessels to dock and to serve Dangote’s 3.0Mta cement plant in Mtwara, as well as increase the port’s overall cargo capacity, the Tanzania Ports Authority (TPA) indicates.
The Mtwara port transported 273,886 metric tons of cargo in 2015/2016 and 388,000 tons in 2016/2017, approaching the port’s maximum cargo capacity of 400,000 tons per year.
The port is one of the three major ports of Tanzania. Others are Dar es Salaam, and Tanga in the north.
The port is destined to be an alternative cargo gateway for cargo bound for southern Tanzania, Malawi, Eastern Zambia and Northern Mozambique.
The Mtwara port has witnessed an increased in activity since the beginning of offshore oil and gas exploration activities in Southern Tanzania.
Furthermore, the Liganga iron ore and the Mchuchuma coal mining projects are also expected to use the Mtwara port.
The port is also an integral part of the Mtwara Development Corridor project and has a special economic zone attached to it.
![]()
^^ Rendering
![]()
^^ Layout Plan (actual construction works was started in May 2018)
Stack Yard and Reclamation
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
^^ soil loading test
![]()
![]()
![]()
![]()
Berth Construction
![]()
![]()
![]()
![]()
Dredging
![]()
![]()
![]()
![]()
^^ panorama
source source
Sent from my iPhone using JamiiForums
Binafsi kinachonifanya niendelee kumiliki king'amuzi cha azam ni tpl tu,si kingineKuna uwezekano mkubwa wakafanya hivyo.. ila atakua ameipata pinch maana mwisho itagusa mapato yake. Ata kitendo cha kupeleka watu sauzi kila week end kimetokana na Azam kuomba rights kwa gear ya kiswahili. DSTV wana feel pinch ya Azam vizuri sana. Azam alipatia sana alivyo anza na ligi ya bongo, Bongo kuna watu wana penda TPL kuliko EPL. Halafu sioni namna ambavyo DSTV anaeza shinda rights za TPL ila kuna uwezekano Azam akapata haki za EPL ila siyo kwa Africa nzima.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app