Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_6757.JPG

IMG_6756.JPG

IMG_6755.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Em naomba kueleweshwa kidogo, Kuna mdau humu kutoka 254 alikua anasema Thika Highway in 8 lanes ukitoa service Roads, na kama ukiweka na service roads basi ni 12 lanes, sasa hapo chini kwenye picha mbona naona 6 Lanes ukitoa service roads na kama utaweka service roads ni 10 lanes na sio 12 kama alivyo dai..Au hizi picha hapo chini Sio zaThika Highway wakuu maana sijawahi fika 254???

View attachment 981278View attachment 981279
Hiyo ni 6lane hizo za pembezoni ni kwaajili hako kashort bridge maalum kwaajili yakuingilia kwenye hiyo barabara kuu ambayo ni 6lane......
Na iditoshe ukivuka tu hiko kijipande hizo za pembeni hazionekani

Wakenya ni wapuuzi siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kila wakikuletea picha ni hako hako kaeneo
Barabara hiyo ni Njia 6 pekee lakini jamaa kwa misifa wanakuambia 12
Tulisha waeleza wakawadanganye wanaigeria sio Watanzania
 
Back
Top Bottom