Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

baada ya diamond platnumz sasa inafata zamu ya kijana alikiba kukusanya pesa ya wakenya na kurudisha nyumbani.

tutaelewana tu.
IMG_20181231_211339.jpeg
 
tukiwa tumebakiza dakika chache kuingia 2019,nataka wakenya wajue kwamba azam tv imepata haki ya kuonyesha mechi zote za emirates FA cup(full package broadcasting rights).

mnaweza ku google kama hamjui emirates FA cup ni nini.

haya ni mafanikio makubwa sana kwa tv inayomilikiwa na mtanzania kupata haki ya kuonyesha emirates FA cup.

azam tv inauza decoders zake nchini tanzania, uganda, rwanda, burundi, malawi na kenya. katika county ya mombasa, azam tv inawateja wengi sana.
Screenshot_2018-12-31-22-15-08-631_com.instagram.android.jpeg
f888d55371497f276809d0a267cdf9b5.jpeg
e49790042c7af926280236b4bcd4f9b0.jpeg
aebe26378a7267f0fcbb8215b8da81be.jpeg
5d27146df1f21addf0e7501e727bdb82.jpeg
 
tukiwa tumebakiza dakika chache kuingia 2019,nataka wakenya wajue kwamba azam tv imepata haki ya kuonyesha mechi zote za emirates FA cup(full package broadcasting rights).

mnaweza ku google kama hamjui emirates FA cup ni nini.

haya ni mafanikio makubwa sana kwa tv inayomilikiwa na mtanzania kupata haki ya kuonyesha emirates FA cup.

azam tv inauza decoders zake nchini tanzania, uganda, rwanda, burundi, malawi na kenya. katika county ya mombasa, azam tv inawateja wengi sana.
View attachment 982480View attachment 982481View attachment 982482View attachment 982483View attachment 982484
Umeisahau Zimbabwe.. contract ni mpaka 2021, Nasikia burudani zaidi zinakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Air Tanzania’s second Airbus A220-300, formerly known as the Bombardier CSeries C300, has now completed its mandatory testflight series.
The testflights reportedly showed all systems were a go and the aircraft is now ready for delivery to the Tanzanian government.
Built alongside a sistership, which was already delivered as reported here, is this aircraft’s production number MSN 55048.

SOURCE: #AirTanzania’s second #Airbus #A223 completes testflights
Screenshot_2019-01-01-02-25-02_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukiwa tumebakiza dakika chache kuingia 2019,nataka wakenya wajue kwamba azam tv imepata haki ya kuonyesha mechi zote za emirates FA cup(full package broadcasting rights).

mnaweza ku google kama hamjui emirates FA cup ni nini.

haya ni mafanikio makubwa sana kwa tv inayomilikiwa na mtanzania kupata haki ya kuonyesha emirates FA cup.

azam tv inauza decoders zake nchini tanzania, uganda, rwanda, burundi, malawi na kenya. katika county ya mombasa, azam tv inawateja wengi sana.
View attachment 982480View attachment 982481View attachment 982482View attachment 982483View attachment 982484
Duh DSTV kweli mabeberu. Baada ya kuona Azam kaleta FA cup nao wameirudisha kwenye package zao!
 
haitasaidia...kitakacho mbeba azamtv ni commentaries za kiswahili zenye vionjo vya kiswahili.

pili studio zao kuwa dar es salaam zitawafanya wawe rahisi zaidi kuwa interactive na mashabiki na wadau wa soka wa hapa nyumbani ambao ni wengi sana.

tofauti na dstv, studio zao hazipo tanzania, zipo SA. ndio maana huwa inawalazimu kila wikiendi kuwasafirisha akina kibonde kwenda SA kufanya commentary za kiswahili.
 
Back
Top Bottom