kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]bro umeshindwa kabisa kuishi na wakenya wenzio???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]bro umeshindwa kabisa kuishi na wakenya wenzio???
[emoji4][emoji4][emoji4]hapa panaitwa mtakuja zone......[emoji23][emoji23][emoji23]bro umeshindwa kabisa kuishi na wakenya wenzio???
Utawauwa hawa watu kwa pressure brt zikionekana kwenye picha, hiyo brt ni ndoto ya wakenya ya mwaka 2100Yaani navuta picha zile njia nane zinazoongezwa ukiplus hapo kati kuanzia ubungo-kimara aisee naona kabisa 1st big giant road in Africa made in Tanzania[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji738]View attachment 974405
Huwa wanazisikiaga tu.....kutoka nchi maalum....kama TZ n.kUtawauwa hawa watu kwa pressure brt zikionekana kwenye picha, hiyo brt ni ndoto ya wakenya ya mwaka 2100
Nasikia michoro ya phase 3 ni tabu tupu!! zinaingia mpaka airport juu kwa juu! Umetoka kwenye pipa una chukua BRT una drop Kimara, safi kabisa, less tha $1 umefika kwako!! Bus zitakua zinatumia gas. Wazungu watakuja kushangaa bongo siku si nyingi. Njiani umepita ma flyover na ma lane kibao kibao [emoji1]Yaani navuta picha zile njia nane zinazoongezwa ukiplus hapo kati kuanzia ubungo-kimara aisee naona kabisa 1st big giant road in Africa made in Tanzania[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji738]View attachment 974405
Then he will go back to Amber!View attachment 974238
Daah ni hatari yaani ujue unawayoa roho hawa mungiki.....Nasikia michoro ya phase 3 ni tabu tupu!! zinaingia mpaka airport juu kwa juu! Umetoka kwenye pipa una chukua BRT una drop Kimara, safi kabisa, less tha $1 umefika kwako!! Bus zitakua zinatumia gas. Wazungu watakuja kushangaa bongo siku si nyingi. Njiani umepita ma flyover na ma lane kibao kibao [emoji1]
Sijui 2020 itakuaje dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1) modern electric bullet train in africa
2) modern terminal building in east and central africa, termina 3
3) expansion dar es salaam port will be complete
4) BRT phase 2 more than 20km
5) ubungo interchange baba yao
6) stiglers gorge biggest dam in east africa 2b usd with capacity of 2100MW
7) kinyerezi 3 with capacity of 400MW
8) morogoro highway 16km
9) new salender bridge with interchanges 7km
Etc [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] Project zote hizo nilizotaja ziko under construction
Nasikia michoro ya phase 3 ni tabu tupu!! zinaingia mpaka airport juu kwa juu! Umetoka kwenye pipa una chukua BRT una drop Kimara, safi kabisa, less tha $1 umefika kwako!! Bus zitakua zinatumia gas. Wazungu watakuja kushangaa bongo siku si nyingi. Njiani umepita ma flyover na ma lane kibao kibao [emoji1]
Da! Kwa Hapa EA hakuna Jengo kama hiloWALE TUNAOPENDA MAENDELEO TANZANIA HASA KTK UJE ZI PLZ, FUATILIA NA THREAD HII TUJUZANE,
Dar: Ujenzi wa Majengo zaidi ya Floor 40 - Updates - JamiiForumsView attachment 974625
Tuko pamoja Japo ishu zinabana tunafuatilia kimyakimyaMungu mkubwa sana, alikuwa na kusudi lake wakenya wajiweke kando na hii thread.
kabla hawajajitoa ulikuwa unakuta page nzima ni kujibishana tu kwa maneno yasiyo na staha.
ila tangu wajitoe kila post ina make sense....kila post imebeba ujumbe wenye logic na Likes zimeongezeka.
hii inaonyesha thread bado inafatiliwa sana.pongezi kwetu na ma comrade wote.