Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Christmas Mood

IMG_6522.JPG
 
Nasikia michoro ya phase 3 ni tabu tupu!! zinaingia mpaka airport juu kwa juu! Umetoka kwenye pipa una chukua BRT una drop Kimara, safi kabisa, less tha $1 umefika kwako!! Bus zitakua zinatumia gas. Wazungu watakuja kushangaa bongo siku si nyingi. Njiani umepita ma flyover na ma lane kibao kibao
Kwa phase 3 itakuwa bomba sana.. Kitu ambacho na uhakika nacho ni kuwa phase 3 na 4 zote zitajengwa b4 2025 cause world bank washa sign contract ....na phase 3 itakuwa inaingia JNIA terminal 3 na kutakuwa na express buses from airport to city center yan haisimami njian
 
Yaani Dar itakuwa ni zaidi ya ulaya blessed sana
 
Back
Top Bottom