Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

32%
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    3.5 KB · Views: 30
This thing looks scripted. Walilipa majamaa kuact ndio wapate views the same way slum tourists do to paint shit on this continent. The police in kenya don't just show up randomly and start shooting @ people that way, plus ni wezi wagani huvaa hivyo Naivasha this is complete crap.
Watarii kutoka marekani walianza vizuri safari yao ....ila kilichowatokea nikumshukuru mungu,,na hawatorudi tena hao....

Stupid Kenya,Stupid Citizen,,,,,wakenya mnadhiki kupindukia

Hivi ndivyo MLDC maisha yenu yalivyo halafu mnakuja kupiga kelele hapa wakati ninyi wote ni wakora
View attachment 957909View attachment 957911View attachment 957912
 
Munatumiaga twitter kama evidence kwa nini mpinge hii
2017 hiii hapa👇👇👇👇👏👏👏👏😂😂
Miaka 10 of developments tumetoka 30% mpaka 67% subiria fugure ya 2018 sasa ujionee😅😅😅 na ukumbuke ukubwa wa tazania ni mara mbili ya kenya usisahau hio

 
Sijui 2020 itakuaje dah😂😂😂😂
1) modern electric bullet train in africa
2) modern terminal building in east and central africa, termina 3
3) expansion dar es salaam port will be complete
4) BRT phase 2 more than 20km
5) ubungo interchange baba yao
6) stiglers gorge biggest dam in east africa 2b usd with capacity of 2100MW
7) kinyerezi 3 with capacity of 400MW
8) morogoro highway 16km
9) new salender bridge with interchanges 7km

Etc 👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Project zote hizo nilizotaja ziko under construction
 
Back
Top Bottom