hata mimi nimejiuliza swali kama hilo.... tukisema shuleni wanaenda kusomea ujinga tutakuwa tumewakosea?Kumbe Kenya wana A380????![]()



hawa jamaa unyang'au hawajaanza leo....ila safari hii magufuli anawanyorosha.hawana hamu naye.niseme ukweli leo baada ya Rais kumpa zawad ruban mstaafu kumpongeza kwa kuitorosha ndege ndio nimeelewa zaid tukio la kuvunjika kwa East African Community na effects zake mfano kama ndege nying kubaki Kenya na sis kubaki na majengo ya EAC HQ kule Arusha na kwanin wakenya wametupita kiuchum miaka ya nyuma! Today was the Biggest Day!![]()
Haya ndo mawazo tunayotaka toka kwa vijana. By the way hio upanga ni kama CBD za kule Nairobi cjui Upper hill or westlandsJamani Hebu tuchangie Mawazo kupitia Uzi huu hapa chini...
Changia Mawazo muhimu Kwa Tanzania yetu - JamiiForums
Changia Mawazo muhimu Kwa Tanzania yetuView attachment 975790
Usisahau na electric trains zitaingia airport piaKwa phase 3 itakuwa bomba sana.. Kitu ambacho na uhakika nacho ni kuwa phase 3 na 4 zote zitajengwa b4 2025 cause world bank washa sign contract ....na phase 3 itakuwa inaingia JNIA terminal 3 na kutakuwa na express buses from airport to city center yan haisimami njian
Kiufupi tukio la kuvunjika kwa East African Community kulitokana na Idd Amin kumpindua Rais wa Uganda wa wakati huo Mh. Milton Obote akiwa ziarani Ulaya, hivyo serikali za Kenya na Tanzania hazikumtambua Idd Amin kama Rais halali wa Uganda (Note: hapa ndo “The Mighty Army”, Jeshi la Tanzania lilipoamua kupigana na Idd Amin). Then ndipo Jomo Kenyatta kwa kumuogopa Idd Amin akatangaza amejitoa katika Umoja huo wakati huo mali nyingi za Afika Mashariki zikiwa Kenya ikiwa ni pamoja na ndege za shirika ambapo Kenya ndo kulikuwa HQ yake, hivyo mali nyingi zikasalia Kenya. Huku sisi tukaamua kuchukua majengo ya HQ ya East African Community kule Arusha. Kilichompa shavu bwana Peter Mapunda leo, alitorosha ndege ikiwa na abiria ndani muda mfupi tu baada ya kuisikia ushirika umevunjika, aliaga anaenda kuipaki ndege vizuri ndipo akapaa nayo na kuitoroshea moja kwa moja uwanja wa Kilimanjaro.
Hilo nalo neno mkuu.....Ila baada ya EAC kurudi, tumerudisha majengo kwenye jumuhiya na tumetoa ardhi lijengwe soko la Africa Mashariki Makuyuni Tanga ila wakenya hawakurudisha ndege na ndio mtelezo walioupata. Ila wajue kuwa hakuna kitu cha bure na kama kuna kitu umepata bure utajakilipa tu hata indirect


Hata miji hauna unaandaa ugaidi mzeeKulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
umesomeka ndg. mchangia mada.Hata miji hauna unaandaa ugaidi mzee
Kivutio kikubwa duniani ni miji iliyopangwa na kujengwa kwa ufasaha (na siyo wanyama na milima). Kuna jitihada mbalimbali zimefanyika na mipango jiji la DAR ES SALAAM/ZANZIBAR ili kuhakikisha inakuwa kama Dubai lakini tukaambulia kuwa na majengo ya ovyo na kujenga nyumba ndogo ili ipo siku tutabomoa na kujenga Gorofa ambapo kwa uhalisia/kiasi kikubwa tunapoteza sumenti nyingi/mchanga mwingi/Gypsum/mapati (steel), kutokuwa na mifumo ya majitaka/maji safi, kusababisha foleni/uchawi n.k.
Aidha, hali hii inajidhihilisha kwenye majiji yote ya Tanzania (ikiwemo mbeya, Iringa, Arusha) kwa kuwa na vyoo kibao kila nyumba, barabara zisizo tengenezeka wakati tunaweza kutumia zege na kuwa na balabala njema kabisa. Kwa hali inavyokwenda tutafika miaka 100 tukiwa na dreams za kwenda kuangalia miji mizuri na iliyopagwa tutakaposafiri kuelekea ulaya/dubai/china. Bila kujiuliza ilijengwaje?
Kama ukijiuliza hili swali ndipo utakapo jua kuna haja ya watanzania kutenga miezi miwili (happy month) kwa kila mwaka kwa ajili ya watu kufanya mazoezi ya kujenga miji ambayo itahakikisha ramani ya mipango inatekelezwa kikamilifu. Ambapo, Serikali inatenga fungu/fedha za kujenga miji (labda kama mafundi wanataka kuchezea tope milele maana nyumba hazina lifespan) na kila mtu anajua kuwa Serikali haifirisiki kwani ipo vizuri kuzungusha fedha kwa njia ya kodi na tozo na viwanja ni vya Serikali.
Maisha ni mipango miji.