Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo naisikia sikia.. chuma kikihamia huko ndiyo balaa juu ya balaa. Magu ni bingwa kwenye sekta ya ujenzi nazani dunia nzima hamna kama yeye, ila Uhuru ni bingwa wa kupiga pesa, ameikamua Kenya vilivyo by the time anasepa kenya itakua jimbo la China.
Katika marais walioua uchumi wa kenya ni kenyatta amemaliza kabisa hio nchi anapoteza pesa nyingi sana kuzunguka duniani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
watajua hawajui.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 972470View attachment 972471
MK254 nimeona sehemu unauliza source ya hii habari.

well, source ni daily nation(one of the reputable news paper in kenya).

sihitaji uje ukomenti.nataka upate notification then usome kimyakimya halafu utafakari.
Labda umsaidie hiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ MK254 ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ kokote uliko salamu na harufu ya white elephant ikufikie

Mwambieni mchina kua muna GDP kubwa sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Deni pekee kwenye GDP ni 62%๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Something good is on its way.

Note: TPA and TRC have been tagged [emoji102]
IMG_1545245478.943774.jpg
IMG_1545245495.379230.jpg
IMG_1545245519.182556.jpg
 
Stiglers gorge imewakimbiza wakenya alaf mbaya waliposkia ni pesa za magu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wameshangaa kuskia magu katoa 3b usd for stiglers gorge alaf waliposkia na phase one SGR 1.2b usd imetolewa na tanzani raha zimewaisha kabisa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Waache wao waendelee kukopa
 
Hiyo naisikia sikia.. chuma kikihamia huko ndiyo balaa juu ya balaa. Magu ni bingwa kwenye sekta ya ujenzi nazani dunia nzima hamna kama yeye, ila Uhuru ni bingwa wa kupiga pesa, ameikamua Kenya vilivyo by the time anasepa kenya itakua jimbo la China.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Stiglers gorge imewakimbiza wakenya alaf mbaya waliposkia ni pesa za magu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wameshangaa kuskia magu katoa 3b usd for stiglers gorge alaf waliposkia na phase one SGR 1.2b usd imetolewa na tanzani raha zimewaisha kabisa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Ndii akiingia madarakani tutakua tunamkopesha hela
 
Back
Top Bottom