Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameiba mpaka computer zilizohifadhi data sijui wakenya wapi walimkosea Mungu😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇







Mapovu ya wakenya sasa👇👇👇 nimecheka sana😂😂😂😂😂













 
tutaelewana tu, kama sio kwa kiswahili au kingereza basi kwa kupitia lugha za kienyeji za makabila ya kenya.


let's see in this game who is clever and who is a fool... numbers don't lie...mtajua hamjui.[emoji16][emoji16][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 970077
hio nchi ndo basi tena
 
Kwa beauty hii, wanaachaje sasa kuja
582b0b4d180000f70350437a.jpeg
highlands-02.jpg
highlands-03.jpg
highlands-04.jpg
 
hiv kuna alipata feeling kuwa Diamond anadate na huyo mdada muda huu ili a’gain vitu kutoka kwa wakenya? mfano anataka attendance ya concerts zote alizoplan kuperform huko kenya mf wasafi festival..iwe kubwa sana!
we do both bro. music, love and patriotism.

hiyo ndio tofauti kubwa ya sisi na wakenya. spirit ya uzalendo kwa watz kuhusu nchi yetu ipo juu sana.

wakenya uzalendo wao ume-base kwenye ukabila. ukikuyu kwanza, ukenya baadaye... ujaruo kwanza, ukenya baadaye.

hakuna aliyetegemea kuona diamond anazungumzia issue za serikali kuagiza ndege mbili kwa mpigo kwenye post yake ya instagram. kumbuka halipwi, kasukumwa tu na uzalendo.
 
Back
Top Bottom