Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tupo juu mawinguni kama liquid pub... [emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mamaa mamaa nakufaa
unnamed.jpeg
 
Mji hauna umeme miez mitatu [emoji23][emoji23][emoji23]MLDC[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Duuh[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] hiyo kali ya dunia milele bora waende wakaishi kuzimu tu
 
sio kwamba kususa kwao hawafatilii, la hasha,wanafatilia kila tunachopost. mda wote wanachungulia hapa. kurudi wanataka ila nafsi zinawasuta. wanajishtukia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

binafsi sitaki warudi, wabaki nje ya thread wakikodoa mimacho...uzi umetulia sana tangu kuondoka kwao. tunapost bila tension yoyote. so relaxing. [emoji16][emoji16]
Hahahahaha!!!! Mungu anakuona
 
Back
Top Bottom