kadagala1
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,941
- 6,213
Wanapita kimyakimyaHapa panaitwa mtakuja,,,""wenyewe watajileta
Wanapita kimyakimyaHapa panaitwa mtakuja,,,""wenyewe watajileta
Huu ujinga wa kupakia hivyo mizigo juu ya basi Dar hakuna
Hayo mambo yalikuwepo kipindi cha akina Sadiki na Sikili
Kazi nzuri sana, safi sana EthiopiaProgress Of Yarp Merkezi Work SGR in Ethiopia..
Station Ndogo👇👇View attachment 970029View attachment 970030View attachment 970031View attachment 970032
Marshalling Yard👇👇👇View attachment 970033View attachment 970034
Hatari21Floors. Kitu kimeanza kwenda kwa kasiView attachment 969994View attachment 969996View attachment 969997View attachment 969998View attachment 970000View attachment 970001
Yaani station ni simple,smart n good looking siyo yale magofu yao......Progress Of Yarp Merkezi Work SGR in Ethiopia..
Station NdogoView attachment 970029View attachment 970030View attachment 970031View attachment 970032
Marshalling YardView attachment 970033View attachment 970034
Utawauawakenya wa jf hatuhitaji m-comment chochote ktk hii thread kwa sasa, mbaki kutazama picha picha tu na kusoma comment.
tupo katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka(holidays). tunajua katika kipindi kama hiki baadhi ya wakenya fedha za za kutosha huja tz kufanya mapumziko.
hizi ni sehemu 15 zenye mvuto wa kitalii ambazo unaweza kutembelea uwapo nchini tanzania katika mapumziko yako ya holidays.
View attachment 969490View attachment 969491View attachment 969492View attachment 969493View attachment 969494View attachment 969495View attachment 969496View attachment 969497View attachment 969498View attachment 969500View attachment 969501View attachment 969502View attachment 969503View attachment 969504View attachment 969505View attachment 969506View attachment 969507
Yaani station ni simple,smart n good looking siyo yale magofu yao......
Yapo na rasha rasha za kizee
Hakuna sgr station kenya inaweza kupita kituo cha mabasi mbezi:
View attachment 970189View attachment 970191
Na kama wanafikiri hii ni just a render ngoja waone maumivu
hongera sana kaka... hujawahi kukosea.