Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh, spati picha...Wa254 watazidi kukimbia hili jukwaa kwa stail hii, Kila kukicha Mnawachapa na kitu kipya.😀😀
sio kwamba kususa kwao hawafatilii, la hasha,wanafatilia kila tunachopost. mda wote wanachungulia hapa. kurudi wanataka ila nafsi zinawasuta. wanajishtukia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

binafsi sitaki warudi, wabaki nje ya thread wakikodoa mimacho...uzi umetulia sana tangu kuondoka kwao. tunapost bila tension yoyote. so relaxing. [emoji16][emoji16]
 
Yule maid mlevi,nilimfuma sehemu anamlaumu mwenzie kwa kukoment katika huu uzi,nikamuuliza"kumbe unafuatilia hatua kwa hatua za ule uzi???"

Alivyogundua kajivua nguo aliruka mita mia.
 
Jamaa kaingia na huku pia👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

B1CFD35E-DD3B-4822-84FE-41C157C7742F.jpeg
C27FBE4D-5548-4780-9F88-7942C511AD25.jpeg
 
Back
Top Bottom