kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
hahahaha....eti city
hahahaha....eti city
hapo ni mombasa kenya.Hahaaaa
Mziki wa Bongo unakubalika sanaaa
Nahisi hapo ni Mombasa kwa kutizama namba za gari
watz wenzangu mnafunza jambo gani kupitia hii picha?
View attachment 969910
watz wenzangu mnajifunza jambo gani kupitia hii picha?
kumbukeni hawa vilaza wiki chache zilizopita waliwahi kuanzisha thread kututambua kiwa wakazi wa nairobi wanaongoza kwa kumiliki private cars
View attachment 969915View attachment 969916
Ha haa dah kweli wanapumulia mipira..Wakenya wamefungua hiii wanalia na ichoboy
Thanks kenyans for not commenting on that bullshit thread. - JamiiForums
dah pele umecheza sana maana kwa kweli yapaswa liwe kwenye jukwaa la malalamikonimeiona, nimemwambia moderator aipeleke kwenye jukwaa la malalamiko.
kama kawaida yetu....ila tunapokosea ni padogo sana ..kwenye timu yetu ya wakunwa...gold medal
Huu ujinga wa kupakia hivyo mizigo juu ya basi Dar hakunawatz wenzangu mnajifunza jambo gani kupitia hii picha?
kumbukeni hawa vilaza wiki chache zilizopita waliwahi kuanzisha thread kututambua kiwa wakazi wa nairobi wanaongoza kwa kumiliki private cars
View attachment 969915View attachment 969916
😂😂😂😂nimecheka sana...Nabado kipigo kinaendelea......Ha haa dah kweli wanapumulia mipira..
Hapa panaitwa mtakuja,,,""wenyewe watajiletanimecheka sana...Nabado kipigo kinaendelea......